Mpenzi wangu ananiangalia kwa jicho la ukali kweli

Mpenzi wangu ananiangalia kwa jicho la ukali kweli

Huyu mpenzi wangu simuelewi kabisa, tangu mchana leo amekuwa mkali kweli na ananiangalia kwa jicho la hasira.

Na ameanza kubadilika baada ya kuniona nakula nazi mbichi tatu, mihogo mibichi sita, na sasa namalizia karanga mbichi sado moja.

Sasa sijui, hapendi nile vitu vya asili; au anataka nile vyakula vya viwandani tu?

Wakuu nisaidieni, kwa nini amebadilika hivi, tatizo linaweza kuwa nini?​
Usishangae ndivyo alivyo hata alipokuja kwangu anakuwaga hivyo
 
Weee toka ule hayo Makolokolo yako masaa bado tu hujaenda kwa demu wako,??? Fanya haraka uende uache fujo humu😊
Demu wangu ni wewe, au hujui hilo; chukua kalamu nyekundu pigia mstari 😀
 
Back
Top Bottom