Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Mwombe mpige shoo usiku
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikimaliza nitafanya hivyoMwombe mpige shoo usiku
Ki vipi mkuu?Pengine wewe hujui
Matokeo na mwezi ukaribu
Itatokea nini mkuu 😀Nawewe muangalie Kwa jicho la ukali...iwe ngoma droo
TEJOWhere is tejo mr..? Or you wanted to say teja..?
Inawezekana kabisa, biashara zimekuwa ngumu sanaAma umekula mtaji wake labda hiyo mihogo ilikuwa ya biashara [emoji848][emoji848]
[emoji23][emoji23][emoji119]Vijana wa siku hizi bhana yani tunatafuna sado moja la karanga mbichi na tunaona sawa wakati wazee wetu walikua wanatafuna junia 3 za karanga peke yake
vijana tunapotea aise[emoji23][emoji23][emoji119]
Vijana wamekuwa walaini sana[emoji23]vijana tunapotea aise
mababu zetu wale wa zaman walikua wanatafuna hadi gunia 30 za karanga mbichi na dumu 12 za asaliVijana wamekuwa walaini sana[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]walikuwa wagumu sana.mababu zetu wale wa zaman walikua wanatafuna hadi gunia 30 za karanga mbichi na dumu 12 za asali
Ukubwa matatizo, bill zote unatakiwa uzilipe wewe 😀Utoto raha sana
Halafu walikuwa wakiishi miaka 800, au maandiko yanatudanganya?mababu zetu wale wa zaman walikua wanatafuna hadi gunia 30 za karanga mbichi na dumu 12 za asali
sio 800 mpaka 969,,,,Halafu walikuwa wakiishi miaka 800, au maandiko yanatudanganya?