Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
- Thread starter
- #61
Na sisi tukakubali kabisa tulikuwa sokwe?Mizungu hiyo mikorofi kweli😄😄
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na sisi tukakubali kabisa tulikuwa sokwe?Mizungu hiyo mikorofi kweli😄😄
Huku mjini watu wanalala sebuleni, hujui hilo?😀 hiyo hela ya kununua magunia yote utapata wapi?Ukienda kijijini mfano kule singida vijijini unanunua gunia kwa bei rahisi sana..unanunua gunia zako hata 300 za karanga halfu kila siku unatafuna gunia hata 20..maisha si yanakua poa kabsa hapo
Sasa hawa wanaojiita magreti thinka, wana thinki nini 😀Kama tu stiki za kuchokonolea meno tunaagiza ilhali Iringa tuna misitu mikubwa sana ya miti
Before the coming of cars in tz our grandfathers they walked by foot from lindi to dsm and nothing happens to them then why cant we do thatPetrol/diesel inatoka wapi? au unataka uwe unatembea kwa miguu toka Lindi mpaka dar?
Sawa!!Pata supu ya mlenda hapo kwa jirani 😀
Kuku mwenye miezi 6, ana manyoya mangapi? Ukipatia jibu, kesho unakwenda kujiunga na wagner ukakomboe ardhiIla ww jamaa hauna akili aise hahaha
Sasa kama mtu anakunya kwenye kisima ambacho kinatumiwa na jamii kwa nini asiwe sokwe😄😄😄Na sisi tukakubali kabisa tulikuwa sokwe?
Kwa nini huvai magome ya miti; hapo kwenu mna kiwanda cha nguo? 😀Before the coming of cars in tz our grandfathers they walked by foot from lindi to dsm and nothing happens to them then why cant we do that
Na wazungu nao walikuwa sokwe?Sasa kama mtu anakunya kwenye kisima ambacho kinatumiwa na jamii kwa nini asiwe sokwe😄😄😄
Sokwe anaweza kugundua ATM ?Na wazungu nao walikuwa sokwe?
I can't wear the tree's mego bcause it will scratch my bodyKwa nini huvai magome ya miti; hapo kwenu mna kiwanda cha nguo? 😀
Umenikumbusha 'speech' moja ya kiongozi mzungu hapo bondeni (S.A)Sokwe anaweza kugundua ATM ?
Botha huyo.Mi mizungu naigopa aisee 😄😄😄Umenikumbusha 'speech' moja ya kiongozi mzungu hapo bondeni (S.A)
Ulishawahi kujiuliza swali, kwa nini shetani amechorwa kwa rangi nyeusi?I canymt wear the tree's mego bcause it will scratch my body
Lakini alichokisema kina ukweli 😀Botha huyo.Mi mizungu naigopa aisee 😄😄😄
Yeah i have asked myselfUlishawahi kujiuliza swali, kwa nini shetani amechorwa kwa rangi nyeusi?
😀😀😀 chupa ya ngapi hiyo, nakuona leo una flow vocabulary tuYeah i have asked myself
How😀😀😀 chupa ya ngapi hiyo, nakuona leo una flow vocabulary tu
Kama ipiHeshima ni kitu cha bure