Mpenzi wangu ananipa dozz ndogo

Kituku Tukiwa holiday pia hakuna tofauti sana said:
Inatosha bana,kwani imekuwa chakula shosti?anyways,hebu endelea kumweleza kuwa dozi anayotoa haitoshi.
 
jaribuni kubadilisha mazingira ....tatizo lenu kila siku uwanja uleule...mwambie mtoke mkapeane dozi nje na nyumbani.......au jaribuni maeneo ya hatari kama parking ,chochoroni nk
 
Sitaki kumfurahisha mtu, ila nimeliweka hapa nipate ushauri, kama ni kawaida au la, na kama ni tatizo maana yawezekana mi nataka zaidi kumbe hiyo ni kawaida kwa baadhi ya watu...

mie nadhani uridhike na uwezo wa mumeo,ndipo alipofikia...
kama hio round moja,anakufikisha then ridhika...
hata hao wanaoenda mara 3,sio mara zote mchezo unakuwa wa quality...hivyo sio mara zote hizo 3 au nne wanafikishwa...so sioni haja ya wewe kudai hizo round...:redfaces::redfaces:
 
pole sana mimi pia niliwahi kuwa na mpenzi ambae ni mwaminifu sana na alikua ananipenda na kunijali sana ila katika hiyo sekta nae alikua mtu wa bao moja tu halafu hoi hataki tena hata akisafiri akirudi system the same mimi nikaja kumwacha maana lol,usikute ndo huyo ulie nae maana hata yeye alikua mtu wa kusafirisafiri anyway mimi nahisi ana matatizo
 
Kituku je hilo moja anapiga kwa muda gani?

Nitakupa mfano wangu mie;

1. Kama demu ni mara ya kwanza (demu mpya) na ana mvuto sana na utundu maridhawa - goli 3 huku goli la kwanza nikitumia dakika 30 hivi

2. Kama demu ni mara ya kwanza na hana mvuto kihivyooo - goli 1 na natumia kama dakika 70 hivi

3. Kwa demu ninaye kamua mara kwa mara (lazima awe na mvuto na utundu wa mahaba) - goli 2 huku goli la kwanza nikichukua dakika 60 na pili dakika 70!!

Exception zinatokea mara chache kulingana na mood na mazingira mengine. Kwa experience yangu, pengine mwanaume ameshakuzoea sana na huna jipya (ubunifu) katika mahaba.

Kwa wanawake wengi wanaamini mwanaume atasimamisha mboo kwa kumwangalia tu...hiyo ni dhana potofu especially kama mnatafuta goli la pili na mmezoeana. Mwanamke inabidi ujitahidi kumburudisha mpenzi wako kwa kufanya vitu mbalimbali kama vile kumnyonya m-b-o-o ili kuhakikisha anahamasika tayari kwa round nyingine.

Nakushauri usiichukulie m-b-o-o for granted kwamba itasimama tu. Inabidi ujitume kuhakikisha mashine inaenda hewani na kukufikisha.

Pia mwanadada usisahau kumpa chakula bora mzee, ngono kwa mwaume inahitaji lishe bora sana!!

Mtupie supu ya pweza...utakimbia mwenyewe!
 
Sijambo swir,babu alishanikabidhi kwako kwa hiyo nimetua wewe tu sasa ushindwe.Kwema lkn?
Kwema kabisaa swithat..tatizo bubu hua simuaminiamini sana yule......weekend hii ndo ukajificha sijui wapi wewe...:flypig::cheer2:
 
Hapa swala nikuzungumza nae kama ndo uwezo wake huo basi tena shosti na wewe ndo uvumilie kwani ulizoea vitatu au vinne. Mkianzana alikuwaje??
 
Mi sio tatizo kama anapiga moja na anakufikisha unataka nini tena,utakuta wengine wanapiga hata 5 but hawakufikisha.sikia kengele tulia na wako
 
kwakweli kadozi ka 1 kwa siku sio kawaida! angalau hata tuwili basi! nina uhakika hako kamoja hukashusha ndani ya dkk 5 tu kwishnei!

Inategemeana mtu na mtu, kwa mimi hilo la kwanza si chini ya dakika 50!!
 
wewe sasa ungenipata mimi, wife wangu mvivu km huyo jama yako lkn namvumilia hivyo hivyo. kimoja tu hoooooooi.
 
Nashukuru wadau, ushauri ni mwingi, thanks kwenu wote @Dena toka nimeanza nae ndo hivi hivi, ila kwa kweli huwa hiko kimoja si kibaya sana huwa ananikuna vizuri tu,

Brooklyn, wewe mwenzangu ni star... hata ningekuwa na wewe ningelalama tena kwenye JF uko speed sana, dk 60-70 duh... huyu wangu naona kwa dakika naridhika nazo, ila nitajitahidi kuzoea maana wengi wamenishauri kuikubali hali... kwa maufundi ofcourse, niko makini, hata yeye mwenyewe anaapriciate, maana kila siku nabadili style na vionjo
 
Pole sana, lakini ili nipate kukushauri naomba unijibu mwaswali yafuatayo;

  1. Je, umewahi kumsaliti huko nyuma, au kumpa facts ulizowahi kuzificha, hata kipindi cha Uboyfriend na Ugirlfriend?
  2. Je, hadi unafikisha uhondo huu hapa JF, umewahi kumvunjia ukimya? Na kwa kiasi gani?
  3. Mpenzi wako anafanya kazi gani?
  4. Vipi romance zingine, zinakuwepo?
  5. Hata anapolala usingizi, anakuwa mbali nawe kwa kiasi gani?
  6. Vipi ulaji wake wa vyakula tofautitofauti na kiwango?
  7. Je, hufanya mazoezi? Mazoezi gani na kwa wakti gani?
  8. Vipi sexual orientation yake? Wewe ni wa ngapi kwake?
  9. Vipi frequency yenu ya kupishana kimawazo?
Ukiweza kujibu maswali hayo kwa ufasaha, bila shaka utapata suluhu la tatizo lako....!
 

kaazi kweli. mnaanzaje kuongelea hayo mambo?
 
...WAKATI MWINGINE KUWA NA MKE MDOGO MDOGO NI SHIDA SANA!
wakina mama wadogo wadogo wanachokifikiria wao ni kwamba waume zao wanawaza unyumba tu......!

pole sana mama!

nakuacha na tafakari hii:
TOA KIBANZI............

hahaha Teamo mwache apate ushauri bana kabla haajanza kutafuta ma Infiii ambao watampa dozi anayoitaka
 
kwakweli kadozi ka 1 kwa siku sio kawaida! angalau hata tuwili basi! nina uhakika hako kamoja hukashusha ndani ya dkk 5 tu kwishnei!

Kimoja cha dak 20 hakikutoshi jamani? anakulea huyo! akijua uko kihivyo anaweza akashawishika kutumia 4wheel
 
Rizika na hilo moja. Ukilalamika sana utapewa nusu goli bure.
 
Cha msingi hebu kaa nae mzungumze sio mpaka wamarekani waambie mzungumze. Hii ifanye iwe kwa hisani yako

Hii nimeipenda tukizidi kulemaa hivi karibuni tutaletewa ratiba ya lini na mara ngapi tujamiiane kwa hisani ya Obama.
 
@ Konakali, 1-anachojua ni kwamba nilikuwa na 1st boyfriend nimeachana nae, hajui history ya huyo jamaa
2- nilishawahi kumwambia na anasema inatosha, yeye anajiskia uchovu
3.. Yeye ni Community worker- mara nyingi anakuwa field
4- Yap, romance nyingi tu, kuanzia oral mpaka, mwili mzima na viungo vyake
5- Always ni kukumbatiana, miguu yake na mikono yake lazima ikunjane kwangu
6- Chakula ni mchanganyiko kwa kweli, sato, kuku, viazi,mbogamboga ugali wali, yaani vyakula vyote na anachagua yeye kwa gharama yoyote ile, kwenye masuala ya msosi ni first kabisa, choice murua,
7- Walk- atleast 3 times per week
8- kwa maelezo yake mimi ni wa pili
9- si mtu wa mawazo sana, coz akishamaliza saa za kazi, mambo ya kiofisi yameisha, masuala ya maisha tunakuwa tunajadili wote, na mipango yote inakuwa kwenye mstari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…