Mpenzi wangu ananipa dozz ndogo

Mwanaume rijali hasa akipiga goli tatu kwa wakati mmoja ni ile staili ya kuku!!!lakini kama mchezo mmoja unaweza kuchukua hata masaa 2 au matatu kwa kweli goli moja linatosha kabisaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Sasa sijui huyo wa kwako anachukua muda gani kwa hilo goli moja!!!!!!!!!!!!! Nifahamishe ili nikuelimishe vizuri..!
 
Nadhani pia ni vema mkaangalia style ya ulaji bila kusahau aina ya vyakula anavyokula.
 

Mhh sijawahi kuhesabu saa exactly ila nafikiri akianza tu shughuli yenyewe ni mwendo wa dkk5- kumi hivi labda
 
Kuna sababu nyingi tu zinazoweza kumfanya achoke. Kama anatumia dawa za BP, ama ana kisukari etc. Dawa za BP mara nyingi kwa wanaume hupunguza nguvu. Hata hivyo mshukuru mungu kwa kupata mara 3 au 4 kwa wiki, kwani kuna wengine ni mara moja kwa wiki au wakati wa sikukuu au wakati wa birthday.
 

Dawa ninayo. Ni PM
 
jaribuni kubadilisha mazingira ....tatizo lenu kila siku uwanja uleule...mwambie mtoke mkapeane dozi nje na nyumbani.......au jaribuni maeneo ya hatari kama parking ,chochoroni nk

Du huu ushauri mwingine jamani, yaani mtu aende na mkewe uchochoroni au parking?!!
Kweli Zamani Zamani?
 
Mumeo ni kiboko...
Yani pamoja na kuwa bize bado anamudu mara 3-4 kwa wiki!!!
Yani hapo una bonge la mume...

Nakuapia kuwa hao wanaokudanganya kuwa wanaenda mara 2-3 kwa usiku mmoja, kwa wake zao ni uongo mtupu. Wengi ni bao moja, tena mara 1-2 kwa wiki...
 
bora iwe mara moja kwa wiki lakn apige magoli mawili au matatu, hlo moja hata iwe mara 3 kwa wk bd n mateso tu kwakweli. Huyo bwana n mbinafsi,anajijali pekeyake hamjali mwenzake,ki2 ambacho c kizuri ht kdogo.
 

Usipende kuonyesha kama unataka mambo fulani sana hata kama unataka, hii tabia ya kujirahisisha inamfanya mwanaume akukinai kabla hamjaanza!
 


Number isnt a matter quality of the action matters - once done it correctly one time may take you down! You're problem is more than that! You two dont do it right that is why you end up dissatisfied. Train on KT!
 
usipolizika na ripoti wanazokupa hao mabwana o mashosti hazikuhamasishi o kukuridhisha mi nakushauri mchek mwanasaikolojia o dakitare mkare dada.
 
Kaa ongea nae vizuri labda ana sababu zake hataki kukwambia.......................
 

Sasa tatizo liko wapi? Kwani wewe unahitaji magoli yake au kufikishwa?
 

Kituku, uwe makini na ushauri unaouchukua humu. Wanaume kwa kawaida huwa wanajisikia vibaya na wanapanic sana wakiambiwa hawamtoshelezi mwenzi. Yaani mara mia mwanamke aambiwe hilo lakini siyo mwanaume. Ukijitia kimbelembele kumwambia hayo unaweza kujikuta ndo unakosa hata hilo moja moja unalopata. Manake akishaanza kufikiria kwamba huwa hakufurahishi, ndiyo hata hilo moja hataweza kabisa.

Ni vizuri ujifunze kama hicho kinachotokea kinatokana na uwezo wake mdogo wa kurudia au ni discipline aliyoamua kujiwekea yeye mwenyewe? Maana wapo wanaume kama mimi ambao wanaamua kujiwekea utaratibu wa kiasi cha kulifanya hilo tendo. Lakini kama huwa unajaribu kuiamusha unaona haiamki, napendekeza usimwambie chochote. Zaidi sana anza kumrekebishia misosi na vitu kama hivyo, aina ya mlo anaopata huwa una contribution kubwa sana katika hayo mambo.
 
tafuta bwana mwingine atakayekutosheleza. otherwise utaendelea kuteseka katika maisha yako yote mpaka unaingia kaburini.
 
Kituku
Member

Join Date
Thu Nov 2010
Posts
41
Thanks
10
Thanked 3 Times in 3 PostsRep Power
0

Mtu ameondoa 'h' tu ili asituhumiwe kwa id theft! Majina yameisha au ni nini?
 
Kituku una bahati namna hiy unalalamika. Kuna watu hawaonji kwa miaka na wamo tu.
 
tatizo lako ni uongo, unakumbuka ulishawahi kuandika hapa kuwa mumeo ndio mpenzi wako wa kwanza kukubanjua bikra?
 
...WAKATI MWINGINE KUWA NA MKE MDOGO MDOGO NI SHIDA SANA!
wakina mama wadogo wadogo wanachokifikiria wao ni kwamba waume zao wanawaza unyumba tu......!

pole sana mama!

nakuacha na tafakari hii:
TOA KIBANZI............
Teamo, kwenye mahusiano KIBANZI ndio nini?
 
Udogo u ukubwa wa dozi unapimwaje? Nini standard?
Au na yeye anawza kuwa anawauliza wenzake afanyeje mpenzi wake anataka dozi kubwa.

Nadhani tatizo sio ukubwa u udogo wa dozzz tatizo ni kutosheka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…