Mpenzi wangu ananipa dozz ndogo

Sister ukweli ni kwamba huyu jamaa hakupendi sana, kupiga zaidi ya moja ni mapenzi au au Kama demu mpya. Hapo hakuna mapenzi amejikuta tu mop pamoja. Pengine kuna mapenzi ya kirafiki tu. Samahani lakini ndiyo fact hiyo.
 
Sitaki kumfurahisha mtu, ila nimeliweka hapa nipate ushauri, kama ni kawaida au la, na kama ni tatizo maana yawezekana mi nataka zaidi kumbe hiyo ni kawaida kwa baadhi ya watu...

'm sorry dadangu. Nakubaliana na wale wanaodai 1 is not normal. Yo man has a virility problem. On normal circumstances anatakiwa kupiga 2 and when in a good mood & na hamu sana 3 au 4.
Kama ni tatizo kama ninavyoona bac naomba umvumilietu.
Speakin from my experience; anachotakiwa kufanya man wako nikuwa na uvumilivu (can't find a better word) baada ya kupiga bao la kwanza, asiache kukuride. Akipass ile climax feeling anaweza ku recoup na akaendelea na akapata bao la 2. Try explain that 2 him.
 


Hapo ndio huwa mnakosea tatizo maneno yenu ya saluni yatawaharibia nyumba siku moja... sasa kama jamaa yuko fit anapiga goli moja lenye ufundi na madoido yote mpaka wewe unasuuzika unataka nini tena? rizika na ulichonacho tatizo utakuta mtu anaanza kumhisi mumewe anatoka nje kisa kapiga goli moja... hivi mtu ukijituma goli moja la dk 30 tena hapo mmebadili style kama tatu bado unakua na hamu tu?? :nono:aaaah labda kama una pepo la ngono
 
'm sorry dadangu. Nakubaliana na wale wanaodai 1 is not normal. Yo man has a virility problem. On normal circumstances anatakiwa kupiga 2 and when in a good mood & na hamu sana 3 au 4.
Kama ni tatizo kama ninavyoona bac naomba umvumilietu.
Speakin from my experience; anachotakiwa kufanya man wako nikuwa na uvumilivu (can't find a better word) baada ya kupiga bao la kwanza, asiache kukuride. Akipass ile climax feeling anaweza ku recoup na akaendelea na akapata bao la 2. Try explain that 2 him.
 
Tatizo hapoa ni expectations, tunakuwa nazo za juuu mno tunapoingia kwenye mahusiano

lazima ifike mahali mtu ukubali kua djust na hali utakayoikuta au itakayokuja mbeleni, maana kutarajia hali ile ile au ambayo ilikuwepo kwa mpenzi wako wa zamani, sio haki wala vema kabisa

jengine, huu ushauri wa saluni jamani nadhani unachangia sana kuharibu mahusiano ya watu,,,,hao wanaodai eti wapenzi wao wanaenda mara 2-3 kwa mara moja ina maana wanafanya kila siku? hilo haliwezekani na hapo ujue kwamba wao wanakusikilizia ulikoroge wao waingie!

Ni vigumu sana kusema kuwa hii ni kawaida au sio kawaida kwa sababu hapa tuko very subjective,,,,kutegemeana mtu na mtu, muhimu ni kuridhishana, sasa maadamu unaridhika,kipi zaidi unachokosa au kuna sehemu labda hakukuni vizuri?
 
Mh! hii niwaachie wanandoa kina Firstlady1 wachangie au singles but experienced like MariaRosa wachangie, si wengine hatuk huko ila nakupa pole sana mama!
 
... Ni wendawazimu kujilinganisha na kujipima na mtu mwingine inapokuja kwenye mambo kama haya!
... Be your self
... and only you!!..you can be you..na hakuna watu wawiliau zaidi.. wanaoshabihiana kwa hili!!
..Sikiliza hizi porojo zote hata then? ...zifurahie ..na usifuatie hata moja... Jitambue na kuwa wewe .. ridhika na wewe mwneyewe...make sure unafuata na ninachokuambia....vinginevyo you will never ever ....
 
Pole sana ndugu yangu hayo ni matatizo si wewe pekee wengi wanalamika na hiyo kitu ila inategemea kwanza kaa chini na mwenzio mliongelee hilo swala ni muhimu huwezi jua labda ana stress za kazi au unashidwa kumpa maufundi maana maufundi mengine hata kama hataki atarudia tu cha muhimu kaa naye chini je yeye anafurahia hii hali kama ndio ujuwe kuna kamsaidizi
 

tena una bahati, wengine hata hilo la kwanza wanaachwa njiani. watalaam wanashauri kimoja ili mradi wote mfike kileleni. ila unaweza kumtengeneza mumeo kwa kumpikia vyakula vya kuleta hamasa mfano mchemsho wa ndizi na karanga n.k
 
Pole dada ila zungumzeni wote wawili,mkawaone wataalam,watawashauri kwani kuna mazoezi maalum ya kufanya ili awe na uwezo wa kupiga hata goli 4 daily
 
polisi mie avatar yako inanichekesha...
 

Nahisi ni haswa hao maswahiba wako ndiyo wanakufanya leo uje hapa kulalamika. Ushauri ni kwamba usiamini sana maneno ya wenzako. Kama hao marafiki zako ni wa mtaani ambao una jua wapenzi wao hawawezi kukupa siri za chumbani mwao ili wasiaibishe wenza wao sasa kama wewe unamuongelea wa kwako kwao ina kula kwako.

Ushauri wangu ni kwamba njia nzuri ya kufikishana kimapenzi ni kuongea pamoja. Sababu za kupiga bao moja tu zaweza kuwa nyingi ila hauwezi kuzijua kwa kuliongelea hapa JF. The best way ni kaongee nae mfikie root ya tatizo. Tatizo laweza kuwa wewe, au yeye au other outside factors kama stress, diet, infidelity etc.
 
Huyo ni mbovu au anatoka njema ambako kuna ujanja zaid.

On serious note, 3-4 times a week ni kawaida
, Sasa ikiwa wewe unataka zaidi ndio maana anachoka. Why can't try to make it less but quality.

we unanitania ae 3-4 times a week ... that is not normal at all..
 
huenda ikawa yuko very bussy kikazi sasa lazima awe anatoa kidogo,,tena pia shukuru!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…