Mpenzi wangu anasita kujenga juu ya kiwanja changu

Very good!
 
Sijawahi kuona battle kati ya mwanaume na mwanamke juu mgao wa mali au sintofahamu walizo nazo huko ustawi wa jamii au hata mahakamani mwanaume akishinda kiurahisi huwa inakuaga mwanamke anapewa nafasi sana katika jamii haijalishi mwanaume ana haki
 
Huyu hapa

Kama unampenda mmilikishe kiwanja

Ukishindwa muuzie Hicho kiwanja

Mwanaume mwenye akili timamu hawezi Jenga kwenye kiwanja Cha mwanamke LABDA Cha wazazi wake (mama na baba)

Mwamba kafata vizuri sheria tulizojadili kwenye kikao chetu Cha wanaume

Jumapili aje Johnbars Tumpe kadi ya uanachama halisi- na tubia 2-3

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijawahi kuona battle kati ya mwanaume na mwanamke juu mgao wa mali au sintofahamu walizo nazo huko ustawi wa jamii au hata mahakamani mwanaume akishinda kiurahisi huwa inakuaga mwanamke anapewa nafasi sana katika jamii haijalishi mwanaume ana haki
Wenyew wanakwambia mimba ya mwanaume,mtoto wa mwanamke akili kumkichwa😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…