Kwa hiyo sisi tukusaidiaje?Tulianza mahusiano amenikuta na kiwanja kikubwa tu, nikamshauri pesa aingize kwenye ujenzi haina haja ya kununua kiwanja, ila amekuwa mzito kujenga juu ya ardhi ile, anadai siku mambo yakienda ndivyo sivyo atapoteza property. [emoji848]
Sio ubinafsi huo? Na why muwaze kuachana mpaka ugomvi wa mali kuhusishwa? Anyways nimemshauri aangalie namna itakayofaa.
Kama hakuna ndoa ni ujinga, labda kama unafanya charity.Vipi na mwanamke kusupport ujenzi kwenye kiwanja cha mwanaume? Unashauri nini?
[emoji16][emoji16][emoji16]Huu mtego ni hatariii mwaka wa 2 naurukaa kwa kwenda mbeleee..! Japo nampa support kidogo sana asione namtengaa.Huyu hapa
Kama unampenda mmilikishe kiwanja
Ukishindwa muuzie Hicho kiwanja
Mwanaume mwenye akili timamu hawezi Jenga kwenye kiwanja Cha mwanamke LABDA Cha wazazi wake (mama na baba)
Mwamba kafata vizuri sheria tulizojadili kwenye kikao chetu Cha wanaume
Jumapili aje Johnbars Tumpe kadi ya uanachama halisi- na tubia 2-3
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona hakuna shida lakini maana sionkila mwanmke ana uswahiliBora mwanamke ajenge kwenye kiwanja cha Mwanaume. Ila sio kiwanja cha Mwanamke we mwanaume ukajenge imekula kwako.
Mimi mke wangu ana pesa ila sijawahi mwambia achangie hata ujenzi wala sitaki anichangie hata Ada ya watoto. Hata Chumvi kununua sitaki.
Pesa zake akajenge kiwanja kingine atapangisha apate pesa.
Sitaki dharau mimi[emoji38][emoji38]
Kwanini mnagoma asijenge nipe reason kwanzaKama una mapenzi hasa na huyo mwanaume badilisha jina la kiwanja lisome lake.
Hapo hata yeye atakuwa na amani kujenga, kinyume na hapo kila mtu abaki na kilicho chake. Yeye abaki na pesa zake na wewe ubaki na kiwanja chako.
Maisha sio rahisi hivyo kama unavyotaka kujiaminisha.
Swali jepesi tu, ingekuwa wewe kakwambia ujenge kwenye kiwanja chake ungekubali?
Hapo mamako ndo anakushika masikio umwingize mtoto wa watu motoni.Tulianza mahusiano amenikuta na kiwanja kikubwa tu, nikamshauri pesa aingize kwenye ujenzi haina haja ya kununua kiwanja, ila amekuwa mzito kujenga juu ya ardhi ile, anadai siku mambo yakienda ndivyo sivyo atapoteza property. [emoji848]
Sio ubinafsi huo? Na why muwaze kuachana mpaka ugomvi wa mali kuhusishwa? Anyways nimemshauri aangalie namna itakayofaa.
Ulikuwa unatupatia taarifa jinsi mwamba anavyoruka huddles!ππππHakuna sehemu nimeomba ushauri boss