Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 25,252
- 36,513
Kwa hiyo sisi tukusaidiaje?Tulianza mahusiano amenikuta na kiwanja kikubwa tu, nikamshauri pesa aingize kwenye ujenzi haina haja ya kununua kiwanja, ila amekuwa mzito kujenga juu ya ardhi ile, anadai siku mambo yakienda ndivyo sivyo atapoteza property. [emoji848]
Sio ubinafsi huo? Na why muwaze kuachana mpaka ugomvi wa mali kuhusishwa? Anyways nimemshauri aangalie namna itakayofaa.