Darlin
JF-Expert Member
- Aug 9, 2020
- 4,796
- 10,646
Siku hizi mnashindana whatsapp status kama sie looooohhhAmekuaje - mmekuaje
Usitujumuishe bana 😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siku hizi mnashindana whatsapp status kama sie looooohhhAmekuaje - mmekuaje
Usitujumuishe bana 😂
😂😂OhooNdugu zangu humu wazima? Natanguliza samahani. But nachohitaji ni ushauri.
Mimi ni kijana napitia changamoto katika mahusiano yangu kama mnavyojua mapenzi yanavyoumiza hasa pale mtu unayempenda akichokwa na tabia zako na akafanya maamuzi ya kuvunja uhusiano, na wakati bado unamuhitaji, naandika haya kwa uchungu😭😭😭
Mahusiano yetu yalianza vizuri tu na tukaenda vizuri ila shida ilianzia kwangu, nilikuwa napenda sana nimtengenezee mwenzangu wivu ili asijeniacha na kitu nilichokuwa nafanya ni kupost picha za msichana mwingine na hii nilikuwa naifanya pindi mwenzangu akinikosea ila hii tabia mwenzangu ilimkera sana but sikuweza kushtuka nikajiona niko sahihi na nimefanya hiyo tabia ya kumpost huyo msichana mwingine kwa nyakati 3 tofauti
Sasa hii ya tatu mwenzangu ameona imezidi ameamua kuniacha karibu mwezi, sasa mawasiliano yetu sio mazuri baina yangu na yeye, kinachoniuma zaidi huyo dada niliyekuwa nampost siko nae kwenye mahusiano.
Mpenzi wangu hataki kunisikia hataki kuiniona ananiona mimi muongo muongo ila baada ya mambo kuwa magumu nimeamua nimueleze ukweli wa juu ya hicho ninachokifanya cha kupost huyo dada ila mwenzangu ndio hivyo hataki kunielewa
Sababu zilizonifanya niwe nampost huyo dada ni
1. Kumtengenezea mwenzangu wivu ili asije niacha
2. Akinikosea nilikuwa nampost ili walau aniulize huyo nani ili nipate chance ya kuchat nae
Maamuzi niliyochukua ni
1. Kuomba msamaha
2. Kuonesha ushahidi kuwa huyo msichana siko nae kwenye mahusiano
3. Kukutana na mchumba wangu ambae nimemkosea ili nimuelezea A-Z kipi hasa kinanifanya nafanya hivi
ila ndo hivo mwenzangu asilimia za kuniamini zimepungua amepunguza uaminifu juu yangu
4. Nimepanga safari ya kusafiri kutoka mkoa wa Katavi hadi Dodoma ili niweze kukutana nae tuzungumze hili suala japo % za kuweza kukuta ni mdogo maana bado mwenzangu ana wasiwasi na mimi ila mimi nimeamua niende hivyo hivyo japo sijui itakuaje
Nimeamua kuondoka na kumtafuta ili nifanye suluhu japo kipato changu kidogo ila nitajibana mpaka nifike huko tujadili haya mambo
Nisaidieni mawazo na namna sahihi ya kuweza kulimaliza hili suala langu
Mwenzangu mpenzi wangu yuko humu ni member sitapenda nitaje jina lake.
Kama atasoma haya maelezo nataka ajue nampenda sana na sipendi nimpoteze❤️❤️
Napitia kipindi kigumu cha mateso makali😭😭😭😭😭 mawazo , mambo yangu hayaendi muda mwingi natumia kuwaza haya tu😭😭 kazi zimesimama nakonda na ulaji wangu umekuwa sio mzuri kabisa😭
Endelea kukaza tu.Ndugu zangu humu wazima? Natanguliza samahani. But nachohitaji ni ushauri.
Mimi ni kijana napitia changamoto katika mahusiano yangu kama mnavyojua mapenzi yanavyoumiza hasa pale mtu unayempenda akichokwa na tabia zako na akafanya maamuzi ya kuvunja uhusiano, na wakati bado unamuhitaji, naandika haya kwa uchungu[emoji24][emoji24][emoji24]

Kama atasoma haya maelezo nataka ajue nampenda sana na sipendi nimpoteze[emoji3590][emoji3590]
Napitia kipindi kigumu cha mateso makali[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] mawazo , mambo yangu hayaendi muda mwingi natumia kuwaza haya tu[emoji24][emoji24] kazi zimesimama nakonda na ulaji wangu umekuwa sio mzuri kabisa[emoji24]
Kwa sasa nipo nae Dodoma na tunapendana sana. Alinieleza yote ulokua unapost hizo picha za huyo dem nikamshauri. Mwanzoni nilimchukulia kama rafiki tu ila kwa sasa ananipenda sana kwakua simfanyii huo upuuzi. Baadhi ya sms unazotuma najibu mimi. Naomba usije utarudi na ulemavu. Tutaoana mwezi ujao.Ndugu zangu humu wazima? Natanguliza samahani. But nachohitaji ni ushauri.
Mimi ni kijana napitia changamoto katika mahusiano yangu kama mnavyojua mapenzi yanavyoumiza hasa pale mtu unayempenda akichokwa na tabia zako na akafanya maamuzi ya kuvunja uhusiano, na wakati bado unamuhitaji, naandika haya kwa uchungu😭😭😭
Mahusiano yetu yalianza vizuri tu na tukaenda vizuri ila shida ilianzia kwangu, nilikuwa napenda sana nimtengenezee mwenzangu wivu ili asijeniacha na kitu nilichokuwa nafanya ni kupost picha za msichana mwingine na hii nilikuwa naifanya pindi mwenzangu akinikosea ila hii tabia mwenzangu ilimkera sana but sikuweza kushtuka nikajiona niko sahihi na nimefanya hiyo tabia ya kumpost huyo msichana mwingine kwa nyakati 3 tofauti
Sasa hii ya tatu mwenzangu ameona imezidi ameamua kuniacha karibu mwezi, sasa mawasiliano yetu sio mazuri baina yangu na yeye, kinachoniuma zaidi huyo dada niliyekuwa nampost siko nae kwenye mahusiano.
Mpenzi wangu hataki kunisikia hataki kuiniona ananiona mimi muongo muongo ila baada ya mambo kuwa magumu nimeamua nimueleze ukweli wa juu ya hicho ninachokifanya cha kupost huyo dada ila mwenzangu ndio hivyo hataki kunielewa
Sababu zilizonifanya niwe nampost huyo dada ni
1. Kumtengenezea mwenzangu wivu ili asije niacha
2. Akinikosea nilikuwa nampost ili walau aniulize huyo nani ili nipate chance ya kuchat nae
Maamuzi niliyochukua ni
1. Kuomba msamaha
2. Kuonesha ushahidi kuwa huyo msichana siko nae kwenye mahusiano
3. Kukutana na mchumba wangu ambae nimemkosea ili nimuelezea A-Z kipi hasa kinanifanya nafanya hivi
ila ndo hivo mwenzangu asilimia za kuniamini zimepungua amepunguza uaminifu juu yangu
4. Nimepanga safari ya kusafiri kutoka mkoa wa Katavi hadi Dodoma ili niweze kukutana nae tuzungumze hili suala japo % za kuweza kukuta ni mdogo maana bado mwenzangu ana wasiwasi na mimi ila mimi nimeamua niende hivyo hivyo japo sijui itakuaje
Nimeamua kuondoka na kumtafuta ili nifanye suluhu japo kipato changu kidogo ila nitajibana mpaka nifike huko tujadili haya mambo
Nisaidieni mawazo na namna sahihi ya kuweza kulimaliza hili suala langu
Mwenzangu mpenzi wangu yuko humu ni member sitapenda nitaje jina lake.
Kama atasoma haya maelezo nataka ajue nampenda sana na sipendi nimpoteze❤️❤️
Napitia kipindi kigumu cha mateso makali😭😭😭😭😭 mawazo , mambo yangu hayaendi muda mwingi natumia kuwaza haya tu😭😭 kazi zimesimama nakonda na ulaji wangu umekuwa sio mzuri kabisa😭
hayuko dodoma now ila hivi karbu atakuepo dodoma coz dodoma sio kwaoKwa sasa nipo nae Dodoma na tunapendana sana. Alinieleza yote ulokua unapost hizo picha za huyo dem nikamshauri. Mwanzoni nilimchukulia kama rafiki tu ila kwa sasa ananipenda sana kwakua simfanyii huo upuuzi. Baadhi ya sms unazotuma najibu mimi. Naomba usije utarudi na ulemavu. Tutaoana mwezi ujao.
😀Kama wampenda mie siwezi toa ushauri maana mwanaume ampendaye mwanamke ujiletea maumivu mwenyewe.
Tatizo mkiitwa kwenye vikao hamkuji.
nimemsababishia matatizo maana mchumba wake alinitafuta nikamuelewesha akanielewa na sasa ivi wako vizuri tu
hapo kwenye kumtafuta huyo mtu natamani nifanye hivo ila bado
Mwombe mchumba wa uliyemposti naye akusaidie. Maana hiyo hata yeye itampa uhakikanimemsababishia matatizo maana mchumba wake alinitafuta nikamuelewesha akanielewa na sasa ivi wako vizuri tu
hapo kwenye kumtafuta huyo mtu natamani nifanye hivo ila bado huyu mpenzi wangu haniamin anaona nitaishia kumdabgaya
Change or perish.Ok asante kwa ushauli wako mkuu, ila ningependa unipe mbinu ya kumuelewesha huyu binti maana nampenda
Em acha kuwaaibisha wanaume wenzio unalia lia nini na ww....Ndugu zangu humu wazima? Natanguliza samahani. But nachohitaji ni ushauri.
Mimi ni kijana napitia changamoto katika mahusiano yangu kama mnavyojua mapenzi yanavyoumiza hasa pale mtu unayempenda akichokwa na tabia zako na akafanya maamuzi ya kuvunja uhusiano, na wakati bado unamuhitaji, naandika haya kwa uchungu[emoji24][emoji24][emoji24]
Mahusiano yetu yalianza vizuri tu na tukaenda vizuri ila shida ilianzia kwangu, nilikuwa napenda sana nimtengenezee mwenzangu wivu ili asijeniacha na kitu nilichokuwa nafanya ni kupost picha za msichana mwingine na hii nilikuwa naifanya pindi mwenzangu akinikosea ila hii tabia mwenzangu ilimkera sana but sikuweza kushtuka nikajiona niko sahihi na nimefanya hiyo tabia ya kumpost huyo msichana mwingine kwa nyakati 3 tofauti
Sasa hii ya tatu mwenzangu ameona imezidi ameamua kuniacha karibu mwezi, sasa mawasiliano yetu sio mazuri baina yangu na yeye, kinachoniuma zaidi huyo dada niliyekuwa nampost siko nae kwenye mahusiano.
Mpenzi wangu hataki kunisikia hataki kuiniona ananiona mimi muongo muongo ila baada ya mambo kuwa magumu nimeamua nimueleze ukweli wa juu ya hicho ninachokifanya cha kupost huyo dada ila mwenzangu ndio hivyo hataki kunielewa
Sababu zilizonifanya niwe nampost huyo dada ni
1. Kumtengenezea mwenzangu wivu ili asije niacha
2. Akinikosea nilikuwa nampost ili walau aniulize huyo nani ili nipate chance ya kuchat nae
Maamuzi niliyochukua ni
1. Kuomba msamaha
2. Kuonesha ushahidi kuwa huyo msichana siko nae kwenye mahusiano
3. Kukutana na mchumba wangu ambae nimemkosea ili nimuelezea A-Z kipi hasa kinanifanya nafanya hivi
ila ndo hivo mwenzangu asilimia za kuniamini zimepungua amepunguza uaminifu juu yangu
4. Nimepanga safari ya kusafiri kutoka mkoa wa Katavi hadi Dodoma ili niweze kukutana nae tuzungumze hili suala japo % za kuweza kukuta ni mdogo maana bado mwenzangu ana wasiwasi na mimi ila mimi nimeamua niende hivyo hivyo japo sijui itakuaje
Nimeamua kuondoka na kumtafuta ili nifanye suluhu japo kipato changu kidogo ila nitajibana mpaka nifike huko tujadili haya mambo
Nisaidieni mawazo na namna sahihi ya kuweza kulimaliza hili suala langu
Mwenzangu mpenzi wangu yuko humu ni member sitapenda nitaje jina lake.
Kama atasoma haya maelezo nataka ajue nampenda sana na sipendi nimpoteze[emoji3590][emoji3590]
Napitia kipindi kigumu cha mateso makali[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] mawazo , mambo yangu hayaendi muda mwingi natumia kuwaza haya tu[emoji24][emoji24] kazi zimesimama nakonda na ulaji wangu umekuwa sio mzuri kabisa[emoji24]
Mtu anafukunya fukunya mwingine anasimamia shoo vizuri unasema nini??Utoto raha sana
Kashakuja. We alikudanganya. Unaona sasahayuko dodoma now ila hivi karbu atakuepo dodoma coz dodoma sio kwao
huku tarime hatulilii mapenzi, akizingua unaongeza mwenzake, ni ngumu sana mioyo yetu kuitoa kwa ajili ya mapenziNdugu zangu humu wazima? Natanguliza samahani. But nachohitaji ni ushauri.