Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 19,041
- 46,239
🤣🤣Bila ya shaka wewe ni NATO huyo mwenza wako Russia na huyo ulokuwa unampost America halafu wewe Zelenskyy hujawacha matani mpaka sasahivi rais wa Ukrain??
Ngoja upinduliwe sasa🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣Bila ya shaka wewe ni NATO huyo mwenza wako Russia na huyo ulokuwa unampost America halafu wewe Zelenskyy hujawacha matani mpaka sasahivi rais wa Ukrain??
Ngoja upinduliwe sasa🤣🤣
Mlijadili nn huko nidokeze kidogo😂Kama wampenda mie siwezi toa ushauri maana mwanaume ampendaye mwanamke ujiletea maumivu mwenyewe.
Tatizo mkiitwa kwenye vikao hamkuji.
Ila wew 🤣Ngoja nikupe mbinu ya kivita, azima kigari kijaze wese nenda nacho.
Ukifika usiongee sana, mbebe tu mzungushe kidogo atalainika
Ila ukienda na miguu ni ngumu kukuelewa.
Siwezi weka hadharani, nitasaliti kambi. Ukitaka njoo pm utapewa maelezo zaidi ila be warmed u will be puting ur mbususu as risk ya kuliwa🤣🤣🤣🤣Mlijadili nn huko nidokeze kidogo😂
😂😂😂LoohSiwezi weka hadharani, nitasaliti kambi. Ukitaka njoo pm utapewa maelezo zaidi ila be warmed u will be puting ur mbususu as risk ya kuliwa🤣🤣🤣🤣
Njoo bana😂😂😂Looh
Wacha weeeeeeeeeMtu anafukunya fukunya mwingine anasimamia shoo vizuri unasema nini??
Acha hizoo wewe pambana na hali yako
Eti kumtengenezea wivu sijawahi sikia hii huyu dada akimrudia huyu mkaka ana pepo yake peponi mara ya 3 hii unapostiwa mwanamke mwenzioKwanza pole kwa kuachwa,
Pili hata usiporudiwa ukipata mahusiano mengine jifunze KUJIAMINI. Kutengeneza kuonewa wivu tafsiri yake ni hujiamini kama unapendwa ndo maana ulikua unamrusha roho mwenzio.
Tatu huyo memba mwenzetu anae moyo, mgombane kidogo umpost mwanamke mwingine tena more than once aloooooo
Nne punguza utoto
Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
Tatizo kijana hajiamini na mwanamke anaejielewa hawezi kudeal na kijana asiejiaminiEti kumtengenezea wivu sijawahi sikia hii huyu dada akimrudia huyu mkaka ana pepo yake peponi mara ya 3 hii unapostiwa mwanamke mwenzio