Mpenzi wangu hataki kunielewa juu ya kosa langu

😂😂Ohoo
 
Endelea kukaza tu.
 
Kwa sasa nipo nae Dodoma na tunapendana sana. Alinieleza yote ulokua unapost hizo picha za huyo dem nikamshauri. Mwanzoni nilimchukulia kama rafiki tu ila kwa sasa ananipenda sana kwakua simfanyii huo upuuzi. Baadhi ya sms unazotuma najibu mimi. Naomba usije utarudi na ulemavu. Tutaoana mwezi ujao.
 
hayuko dodoma now ila hivi karbu atakuepo dodoma coz dodoma sio kwao
 
Hivi mnawezaje kupata wapenzi humu JF tena kwa kutumia anonymous IDs? Hua nawazaga sana [emoji848]
 
nimemsababishia matatizo maana mchumba wake alinitafuta nikamuelewesha akanielewa na sasa ivi wako vizuri tu

hapo kwenye kumtafuta huyo mtu natamani nifanye hivo ila bado

nimemsababishia matatizo maana mchumba wake alinitafuta nikamuelewesha akanielewa na sasa ivi wako vizuri tu

hapo kwenye kumtafuta huyo mtu natamani nifanye hivo ila bado huyu mpenzi wangu haniamin anaona nitaishia kumdabgaya
Mwombe mchumba wa uliyemposti naye akusaidie. Maana hiyo hata yeye itampa uhakika
 
Polee mpo miji tofauti na unampenda! Mna mioyo ya kipekee sana wenzetu
 
Em acha kuwaaibisha wanaume wenzio unalia lia nini na ww....
 
huku tarime hatulilii mapenzi, akizingua unaongeza mwenzake, ni ngumu sana mioyo yetu kuitoa kwa ajili ya mapenzi
anyway tupe namba zake tuongee naye, tumshauri
 
Wee jamaa fala Sana ..uyo demu siku akiliwa si itakufaa kabisa..?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…