Umenichekesha kinoma. umennikumbusha kamoja nilikuwa nako mwaka jana. Ghafla kaanza kuniita jina fulani na gharama zikaongezeka... nilikimbia speed 320Poleni na mihangaiko wakuu.
Nina kasichana kangu kapo chuo hapo IFM kameanza kuniita papaa.
Hivi hii ina maanisha nini?
MobimbaHaha dah!
Wewe itakuwa ndio wale ambao dem akiwa na rafikizake anawaambia "changamkeni rafiki zangu hapa ni mjini, me nina buzi langu nikituma meseji tu laki moja inaingia" afu kwa mbwembwe anakucheki "babe nataka kwenda saloon hata sina hela" na wewe unamjibu chap "usijali love nipe dakika1" unamtumia mpaka kakuona papaa wemba papaa mobimba.
Niko pale,Poleni na mihangaiko wakuu.
Nina kasichana kangu kapo chuo hapo IFM kameanza kuniita papaa.
Hivi hii ina maanisha nini?
Hela zikiisha asisahau kutuletea uzi hapa👿Ukiona hivyo ujue wewe ni ATM machine