Mpenzi wangu kaanza kuniita hili jina, ana maana gani?

Haha dah!
Wewe itakuwa ndio wale ambao dem akiwa na rafikizake anawaambia "changamkeni rafiki zangu hapa ni mjini, me nina buzi langu nikituma meseji tu laki moja inaingia" afu kwa mbwembwe anakucheki "babe nataka kwenda saloon hata sina hela" na wewe unamjibu chap "usijali love nipe dakika1" unamtumia mpaka kakuona papaa wemba papaa mobimba.
😂😂😂😂
 
Wewe mwenyewe umekaita "kasichana" Ikimaanisha haupo rika moja nae. Kwa hiyo kukuita papa = Daddy = father

Naona ni sawa tu mkuu maana una play part yako vizuri
 
Haha dah!
Wewe itakuwa ndio wale ambao dem akiwa na rafikizake anawaambia "changamkeni rafiki zangu hapa ni mjini, me nina buzi langu nikituma meseji tu laki moja inaingia" afu kwa mbwembwe anakucheki "babe nataka kwenda saloon hata sina hela" na wewe unamjibu chap "usijali love nipe dakika1" unamtumia mpaka kakuona papaa wemba papaa mobimba.
Papaa Ngwasuma.
 
Back
Top Bottom