Mpenzi wangu kaanza kuniita hili jina, ana maana gani?

Mpenzi wangu kaanza kuniita hili jina, ana maana gani?

Au alimwambia huyo dem
"yaani ukinikubalia tu mi sicheleweshii
Hujakaa sawa biyaa...na na na sodaa...ukigeuka hivi chipusi...ten"
Cc: Chica Gee
 
Poleni na mihangaiko wakuu.
Nina kasichana kangu kapo chuo hapo IFM kameanza kuniita papaa.
Hivi hii ina maanisha nini?
Hongeza juhud za kumpa pesa atakuja kukuita baba mzazi huto amiini
 
Hivi Fataki bado wapo kwenye jamii. Acheni mabinti wasome, fikiria huyo ni binti yako
 
Anza kuvaa modo achna na hbari za kuvalia suruali karibu na shingo
 
Jina lako NI nzuri Sana Mkuu .

Manzi anakupa na risiti kabisa ndani ya Jina kuprove unavyotumika.


PAPA
 
Mimi kuna kamoja kananiita baba mjengo mbona makankasha.
 
Poleni na mihangaiko wakuu.
Nina kasichana kangu kapo chuo hapo IFM kameanza kuniita papaa.
Hivi hii ina maanisha nini?
Danga... Muulize Hubby wake yuko wapi 🤣🤣
 
Back
Top Bottom