Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 16,028
- 23,380
Papaa kwa tafsiri ni baba.Poleni na mihangaiko wakuu.
Nina kasichana kangu kapo chuo hapo IFM kameanza kuniita papaa.
Hivi hii ina maanisha nini?
Yategemeana na orientation ya penzi lenu mlivyoliseti.
Baba yaweza tumika katika kukuita kimahaba ama kwa kukuheshimu, lakini pia kwa dharau ya kumzidi makamo.
Lakini mimi nikiitwa baba wakati nananilii huwa inaniongezea confidence kichwani, kuboost upendo na kunipandisha kiwango cha ufanisi.