Mpenzi wangu kaanza kuniita hili jina, ana maana gani?

Mpenzi wangu kaanza kuniita hili jina, ana maana gani?

Ila mayutiai ni kila mahali sasa, I am actually starting to hate sex because of these stds kila demu wa chuo ukiruka nae lazima ukamuone daktari!😤😤
Tumia kinga mkuu vinginevyo utafahamika na madaktari wote hadi wa mirembe, hawa watoto wa elfu 2 sijui wana nn kuna mtu aliniambia ukipiga kavu toto la afu mbili lazima utaumwa tu.
 
Unakaa nchi gani mkuu?

Wana groups zao na status huko WhatsApp wanafanya challenges za kupost chats na miamala ya wanaowaita 'papa with funds' kama wewe hivyo.

Yaani kila demu anapambana kutafuta li sugar daddy lake then anapolipiga mizinga anachat nalo anascreenshoot zile chats na muamala likituma wa maana ana screenshoot na kutupia kule akitamba papa with funds🔥... Vingine vinajichatisha vyenyewe na kuedit miamala ionekane mikubwa then vinapost😁

Sasa hako kameona kavuke mipaka kakuite nawe direct, kanachokuficha hapo ni ile 'with funds'.
 
Poleni na mihangaiko wakuu.
Nina kasichana kangu kapo chuo hapo IFM kameanza kuniita papaa.
Hivi hii ina maanisha nini?
Yaani maana yake umeshakuwa mutu mukulu au mutu ya pesa mingi. Wewe hakikisha tu cash flow yako haitetereki ili asije akaanza kukuita mwanaume suruali
 
Tumia kinga mkuu vinginevyo utafahamika na madaktari wote hadi wa mirembe, hawa watoto wa elfu 2 sijui wana nn kuna mtu aliniambia ukipiga kavu toto la afu mbili lazima utaumwa tu.
Nimekusoma mkuu, ila kama mdau aliyechangia hapo awali ni vitamu kweli kweli...utelezi kama wote. Si unajua tena mashangazi wameshakaukiwa bila lubes mambo hayaendi.
 
Nimekusoma mkuu, ila kama mdau aliyechangia hapo awali ni vitamu kweli kweli...utelezi kama wote. Si unajua tena mashangazi wameshakaukiwa bila lubes mambo hayaendi.
Ni vitamu mno ila kujitunza ndio wengi hawajui
 
Back
Top Bottom