Nomadiq
JF-Expert Member
- Jan 5, 2025
- 8,572
- 22,926
Asante 🤠Haha 😀
pole dear
🙂 you're welcomeAsante
Kispika kisichopiga mzikiKisipika 😁😁😁
Aisee Ile kitu kweli NI kisipika hahaa
Acha kunichora unakijuaKispika cha yas ndo nini? Unazidi kunichanganya tyuuh, Lol
😂😂😂😂😂
MobimbaPoleni na mihangaiko wakuu.
Nina kasichana kangu kapo chuo hapo IFM kameanza kuniita papaa.
Hivi hii ina maanisha nini?
Kabisa asisahau kuja kuleta ushuhudaHela zikiisha asisahau kutuletea uzi hapa👿
Hapo anataka azimalize zotePoleni na mihangaiko wakuu.
Nina kasichana kangu kapo chuo hapo IFM kameanza kuniita papaa.
Hivi hii ina maanisha nini?
Maana yake baba! Afadhali yako ngosha. Wengine wameitwa buzi, jinga, mbwa nk nk. Una bahati njemba!Poleni na mihangaiko wakuu.
Nina kasichana kangu kapo chuo hapo IFM kameanza kuniita papaa.
Hivi hii ina maanisha nini?
Ipigwe kitofa cha mwaka! ila mwanangu kwa hasira umeamsha ukoo mzima kweli hii imepenya!Moderator Refiner endelea tu KUILINDA na KUIOGOPA hii ID kwani leo ni Siku ya Pili INANICHOKOZA, INANITUKANA na KUNIDHALILISHA hapa JamiiForums.
Cc: JamiiForums Founder Maxence Melo, Cookie, Payge, Active, YinYang, Moderator and JamiiForums
Ningejua, nisingeuliza, nini hicho em nambie bhana. LolAcha kunichora unakijua
KipwintoNingejua, nisingeuliza, nini hicho em nambie bhana. Lol
😂😂😂😂