Mpenzi wangu kaanza kuniita hili jina, ana maana gani?

Haha dah!
Wewe itakuwa ndio wale ambao dem akiwa na rafikizake anawaambia "changamkeni rafiki zangu hapa ni mjini, me nina buzi langu nikituma meseji tu laki moja inaingia" afu kwa mbwembwe anakucheki "babe nataka kwenda saloon hata sina hela" na wewe unamjibu chap "usijali love nipe dakika1" unamtumia mpaka kakuona papaa wemba papaa mobimba.
 
Mobimba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…