Sam Richards
Member
- May 3, 2019
- 76
- 155
Oya naombeni msaada demu wangu kaniambia ameamua kujiunga kufanya mazoezi ya mpira wa muguu mtaani kwao, team ya mademu, nilipo muuliza kwanini umeamua hivyo kazema ni maamuzi yake kaamua iwe hivyo nikimzuia anasema ameamua kufanya kazoeni na kila siku anaenda uwanjani na akirudi amechoka usiku tunaongea kidg na sio kama zamani kisha analala, hii ni siku ya 8 hivi tangu aanze..
Jana kaniomba hela ya jezi anunue alafu Jumamosi anasema anaenda kucheza mpira bonanza hii ni kweli?
Wanaume tunajua ma vitu yanayotokana na mpira yaani uzinzi ndio mwake tena tukiona mademu ndio balaa hapa nawaza namna ya kumzuia....
Oya naombeni neno wakuu au nisepe?