Mpenzi wangu kaanza majuzi kufanya mazoeni tena kwenye team ya mabinti mtaani nimzuie?

Dogo piga chini huyo malaya kashaanza kutongozwa na muhuni tena anamuelewa sana ila bado yupo dillema(nafsi inamsuta) pia stage aliyepo anakaribia kumegwa tunda, akishamegwa tu utabadilishiwa mapigo.

Hapo huna cha kufanya uwanja wa kabumbu umeinamia upande wako.Hakuna cameback ya maana unaweza fanya hapo.Jiwahi kwa kumpiga chini kabla haijawa too late!!!

Dogo skia huyo malaya ameshakuchoka huyo anatafuta sababu ujiongeze mwenyewe hii mifala huwa haitaki kuwareaponsible na actions zao.Anza kutafuta demu mwingine kama huna ukimpata piga chini huyo boya.

Ukikaza kichwa utaachwa wewe.Pendelea kuacha pale unapoona demu anakupa signal 🚩🚩🚩za kuanza kukuchoka.Acha kuwa king'ang'anizi utajiumiza nafsi bure.

Chamwisho jifunze kuwa na plan B,mpango wa kando ni muhimu ili kubance hisia.Wewe kiazi mbatata unaonekana unademu mmoja na ndo maana anakuhenyesha fala wewe.Anza kuishi kimasta.

Kila ukianza kuona unaanza kudevelop feelings kwa malaya wako yoyote anza kutafuta madhaifu ya huyo demu ili kuuwa feelings.
Bonge moja la article na nimeelewa vyema sana hapa....sio kwamba sina makandokando ninayo ila nimewaza tu huyu ananionaje hadi kujiunga na ma vituz hayo....eniwei nilishamove on. Jana ilibidi nimuweke mezani kisha tukamalizana kibingwa tu. Shwaaaa
 
🤝🤝🤝Kama umemuwahi hivyo kaa utulie uone atavyoanza kujileta tena😀😀😀 hawa viumbe ni vichaa.

Ila simamia msimamo hakuna kupasha KIPORO CHA MAKABICHI.Nahisi ulijilia vyako kibingwa( ulipiga shoo za hela yote) kwahiyo huna deni🤝

Akiona umemuacha wewe atarudi ajililze ili ukiingia maboya akumwage uumie.Sahivi kajikaza kisabuni mpe wiki tatu mpaka miezi miwili.

NB;Show za hela yote unapiga mastaili na kuichakaza mbususu ya demu kiasi kwamba hata akisema tuachane sahivi unakuwa huna kitu hujamfanya kunako 5*6🤝
 
Kwa mfano binti yangu akitaka kucheza mpira sina uwezo wa kumzua, ndio uje wewe with your limited education umpangie maisha.
Hii aina ya wanawake zenu bado wanaishi 1965
 
Jiongeze hapo ameongea kwa vitendo na bado hujamwelewa akikutamkia live so utazimia
 
Oya naombeni msaada demu wangu kaniambia ameamua kujiunga kufanya mazoezi ya mpira wa muguu mtaani kwao, team ya mademu, nilipo muuliza kwanini umeamua hivyo kazema ni maamuzi yake kaamua iwe hivyo nikimzuia anasema ameamua kufanya kazoeni na kila siku anaenda uwanjani na akirudi amechoka usiku tunaongea kidg na sio kama zamani kisha analala, hii ni siku ya 8 hivi tangu aanze..

Jana kaniomba hela ya jezi anunue alafu Jumamosi anasema anaenda kucheza mpira bonanza hii ni kweli?

Wanaume tunajua ma vitu yanayotokana na mpira yaani uzinzi ndio mwake tena tukiona mademu ndio balaa hapa nawaza namna ya kumzuia....

Oya naombeni neno wakuu au nisepe?
Unaibiwa, shtuka
 
Kwa mfano binti yangu akitaka kucheza mpira sina uwezo wa kumzua, ndio uje wewe with your limited education umpangie maisha.
Hii aina ya wanawake zenu bado wanaishi 1965
Mwanao akicheza mpira jua ni malaya au sagaji,,,,period!!!

Mpira sio career ya kumfanya mtu tena mwanamke kutoka dunia ya tatu awe na maisha zaidi unacreate matatizo ya depression siku za usoni.Mpira ni kama mziki kwa wanawake.Huwa wanalost mbaya mbovu kawatafute akina Zay b,akina Chemical, nk.

Miili ya wanawake wa kibantu inatepeta mapema sana huo mpira hawezi kucheza hata misimu miwili akamaliza.

Alafu wewe unajiona msomi kumbe zwazwa tu huna kitu unajua Tulia ueleweshwe.
 
Ndo vizuri.

Muache apige tizi, asiwe na viriba tumbo kama wenzake.

A healthy woman is a beautiful woman.
 
Mwanao akicheza mpira jua ni malaya au sagaji,,,,period!!!

Mpira sio career ya kumfanya mtu tena mwanamke kutoka dunia ya tatu awe na maisha zaidi unacreate matatizo ya depression siku za usoni.Mpira ni kama mziki kwa wanawake.Huwa wanalost mbaya mbovu kawatafute akina Zay b,akina Chemical, nk.

Miili ya wanawake wa kibantu inatepeta mapema sana huo mpira hawezi kucheza hata misimu miwili akamaliza.

Alafu wewe unajiona msomi kumbe zwazwa tu huna kitu unajua Tulia ueleweshwe.

Mtu mwenye limited education ni yule mwenye uwezo mdogo wa kutumia kichwa kuchanganua mambo ya Dunia hii. Unaweza ukawa na university degree lakini ukawa umeishia hapo huwezi kuona nje ya box, ndio maana yake kwamba your education is limited.

Kitu kingine, kumzuia binti yako kucheza mpira au kufanya muziki sio dawa ya umalaya kwasababu hata huko kanisani kuna wahuni kibao tu.
 
📌Huna akili!!!
 
🤝🤝🤝Kama umemuwahi hivyo kaa utulie uone atavyoanza kujileta tena😀😀😀 hawa viumbe ni vichaa.

Ila simamia msimamo hakuna kupasha KIPORO CHA MAKABICHI.Nahisi ulijilia vyako kibingwa( ulipiga shoo za hela yote) kwahiyo huna deni🤝

Akiona umemuacha wewe atarudi ajililze ili ukiingia maboya akumwage uumie.Sahivi kajikaza kisabuni mpe wiki tatu mpaka miezi miwili.

NB;Show za hela yote unapiga mastaili na kuichakaza mbususu ya demu kiasi kwamba hata akisema tuachane sahivi unakuwa huna kitu hujamfanya kunako 5*6🤝
Kama kuichapa nimeichapa tangu 2022 huko ko sina la kupoteza kwake...ameshaanza kutoa milio huko na ahadi nyingi lakini ***** haamini...
 
Mtafute atakayekuwa opponent wake halafu mwambie amtengue, akae nyumbani auguze majeraha.

Au ongea na coach wake ampe mazoezi magumu mpaka achanike nyama za paja, akae ndani akiuguza
 
daah kwahy ndio umeamua umchambe kabisa mwanetu,mwanangu inaonekana unahasira san na wanawake🤣🤣
 
Back
Top Bottom