Mpenzi wangu kaanza majuzi kufanya mazoeni tena kwenye team ya mabinti mtaani nimzuie?

Mpenzi wangu kaanza majuzi kufanya mazoeni tena kwenye team ya mabinti mtaani nimzuie?

Ukimuacha tu kesho yupo Brighton & Albion Rovers anakipiga na Aisha Masaka wakati wewe upo Songea unachezea Mchikichini FC.

Mpe support mkuu, siku moja moja nenda mazoezini kwake angalia anavyoubonda, mpe ushauri anapokosea. Hivyo tu.
 
Back
Top Bottom