Mpenzi wangu kaanza majuzi kufanya mazoeni tena kwenye team ya mabinti mtaani nimzuie?

Bonge moja la article na nimeelewa vyema sana hapa....sio kwamba sina makandokando ninayo ila nimewaza tu huyu ananionaje hadi kujiunga na ma vituz hayo....eniwei nilishamove on. Jana ilibidi nimuweke mezani kisha tukamalizana kibingwa tu. Shwaaaa
 
Bonge moja la article na nimeelewa vyema sana hapa....sio kwamba sina makandokando ninayo ila nimewaza tu huyu ananionaje hadi kujiunga na ma vituz hayo....eniwei nilishamove on. Jana ilibidi nimuweke mezani kisha tukamalizana kibingwa tu. Shwaaaa
🤝🤝🤝Kama umemuwahi hivyo kaa utulie uone atavyoanza kujileta tena😀😀😀 hawa viumbe ni vichaa.

Ila simamia msimamo hakuna kupasha KIPORO CHA MAKABICHI.Nahisi ulijilia vyako kibingwa( ulipiga shoo za hela yote) kwahiyo huna deni🤝

Akiona umemuacha wewe atarudi ajililze ili ukiingia maboya akumwage uumie.Sahivi kajikaza kisabuni mpe wiki tatu mpaka miezi miwili.

NB;Show za hela yote unapiga mastaili na kuichakaza mbususu ya demu kiasi kwamba hata akisema tuachane sahivi unakuwa huna kitu hujamfanya kunako 5*6🤝
 
Kwa mfano binti yangu akitaka kucheza mpira sina uwezo wa kumzua, ndio uje wewe with your limited education umpangie maisha.
Hii aina ya wanawake zenu bado wanaishi 1965
 
Jiongeze hapo ameongea kwa vitendo na bado hujamwelewa akikutamkia live so utazimia
 
Unaibiwa, shtuka
 
Kwa mfano binti yangu akitaka kucheza mpira sina uwezo wa kumzua, ndio uje wewe with your limited education umpangie maisha.
Hii aina ya wanawake zenu bado wanaishi 1965
Mwanao akicheza mpira jua ni malaya au sagaji,,,,period!!!

Mpira sio career ya kumfanya mtu tena mwanamke kutoka dunia ya tatu awe na maisha zaidi unacreate matatizo ya depression siku za usoni.Mpira ni kama mziki kwa wanawake.Huwa wanalost mbaya mbovu kawatafute akina Zay b,akina Chemical, nk.

Miili ya wanawake wa kibantu inatepeta mapema sana huo mpira hawezi kucheza hata misimu miwili akamaliza.

Alafu wewe unajiona msomi kumbe zwazwa tu huna kitu unajua Tulia ueleweshwe.
 
Ndo vizuri.

Muache apige tizi, asiwe na viriba tumbo kama wenzake.

A healthy woman is a beautiful woman.
 

Mtu mwenye limited education ni yule mwenye uwezo mdogo wa kutumia kichwa kuchanganua mambo ya Dunia hii. Unaweza ukawa na university degree lakini ukawa umeishia hapo huwezi kuona nje ya box, ndio maana yake kwamba your education is limited.

Kitu kingine, kumzuia binti yako kucheza mpira au kufanya muziki sio dawa ya umalaya kwasababu hata huko kanisani kuna wahuni kibao tu.
 
📌Huna akili!!!
 
Kama kuichapa nimeichapa tangu 2022 huko ko sina la kupoteza kwake...ameshaanza kutoa milio huko na ahadi nyingi lakini ***** haamini...
 
Mtafute atakayekuwa opponent wake halafu mwambie amtengue, akae nyumbani auguze majeraha.

Au ongea na coach wake ampe mazoezi magumu mpaka achanike nyama za paja, akae ndani akiuguza
 
daah kwahy ndio umeamua umchambe kabisa mwanetu,mwanangu inaonekana unahasira san na wanawake🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…