Mpenzi wangu kabadilika kwa sasa hata mawasiliano ni magumu kati yetu

Mwanamke haurumiwi dogo Ras kila siku tunawachana fact mnahisi tunaongea utamu.
 
Tambua thamani yako master
 
Mkuu kwanza pole, lakini pili ujue wewe ulitumika kama panadol wakati wa maradhi inathamani sana ila yakishapita tu inakuwa dumped away uyo wewe ulimsaidia kumpa relief tu baada yakuterekezwa na mimba yake kajipata sasa soko lipo upya hata ungempa nyumba still hauna maaana ni kheri ungehesabu kama unsaidia km jiran mwema at least now angekufiria.
 
usimsaidie mwanamke akiwa na shida....shida zake zikiisha anakusahau....

huyu hakukupenda ila kwa kuwa alikuwa na shida zake akaona ajitulize kwa muda ili akikaa sawa aondoke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…