Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 55,705
- 104,843
Ingekuwa ni mimi ndiyo nimemkuta anachati na wewe,huyo mpenzi wako saa hizi watu wangekuwa wanachambua mchele upikwe mlo wa mchana.Mko poa walimwengu?
Nina mpenzi wangu ambae ni mke wa mtu,jana jioni tulikua tunachat nae kwenye moja ya mtandao wa kijamii.ghafla nikaona kapotea hewani,baada kama ya masaa mawili nikaona number ngeni inanipigia kupokea ni huyu mwanamke wangu alikua katumia number ya jirani yake,alikua analia kwa uchungu akaniambia mumewe kaona chattings zetu na hivyo kumpiga sana na mkanda wa suruali.
So wakuu hapa nichukue hatua gani,nimfanyizie jamaa apelekwe dawati la jinsia police kisha tumlaze lock up siku mbili tatu au nifanyaje maana uwezo wa kumsumbua kwa kutumia police ninao?
Acha utawaamsha bhanaongeza saut basi majirani wasikieπ
sasa jana walisema toka nihamie hapa hawajawahi skia sauti ya mwanaume ikiniita, nataka wasikie leoAcha utawaamsha bhana
Nimekuita mara 3 mtoto mzurisasa jana walisema toka nihamie hapa hawajawahi skia sauti ya mwanaume ikiniita, nataka wasikie leo
Eeeh wewe sasa utasababisha nirogwe,mara zote izoNimekuita mara 3 mtoto mzuri
Kwani ni wote tumeenda?ngoja tutoke ibadani
Mkuu nielekwze namna ya kutafuta Uzi wa mtu na kuu tagNimemuomba wife aniazime kiasi flani cha pesa, ameninyima, ila amejipost kwenye status yuko somewhere anakula bata na mashost zake
Wakuu wa humu heshima yenu! Wife ni mtumishi wa umma (mwalimu secondary)kwenye moja ya mkoa hapa Tanzania. So kama ilivyo ada watumishi wa umma mishahara yao inawahi kutoka, tarehe kama hizi wao tayari mambo yanakua vizuri tofauti na private sector mpaka tarehe 45 huko. Niko safarini, na...www.jamiiforums.com
hapana,,kwa sie tuloendaKwani ni wote tumeenda?
Acha kufananisha supu ya ng'ombe na upuuzi.
Una press kwenye ID yake kisha itakuja page yake,hapo napo unapress kwenye ID yake,utaona neno Find,ukiingia hapo utakuta,Find all threads by...unachagua uzi kisha unacopy na kwenda kupaste sehemu unayoitaka.Mkuu nielekwze namna ya kutafuta Uzi wa mtu na kuu tag
Na mchawi mkubwa ni uyu LamomyEeeh wewe sasa utasababisha nirogwe,mara zote izo
Nimekumissshapana,,kwa sie tuloenda
Mmmh ww wa kwenda ibadani kwelingoja tutoke ibadani
unataka kusemaje dogoMmmh ww wa kwenda ibadani kweli
Wajameniiiiii leo siku nzuriiiii namisiwa saaana ππππNimekumisss