Mpenzi wangu kaniuliza swali, nimeshindwa kumjibu

Hakunaga hizo dawa usiogope. Kuna mwanangu mmoja ameoa ni malaya wa kufa mtu, mke wake anamuwekeaga dawa kwenye kila chakula, ila huwezi amini nje ana wanawake zaidi ya wanne na wengine nawafahamu tuko nao mtaa mmoja.

Nikimtaniaga namwambia mke wake ananiambia, sister potezea. Visichana vya chuo kibao na hawapagi hela nyingi anasemaga hazidi elfu 10. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Usiogope hizo dawa hakuna kitu.
Hajakutana na mtaalamu huyo shostie wako, muambie aje kwangu mie, ntamtengeneza huyo Malaya wake, na hata amini,
Dunia hii shoga angu, uwanja wa fujo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Labda mwanao huyo kachanja au Mke wake anapewa dawa ambayo siyo sahihi au anapewa ambayo ni sahihi anakosea kutengeneza.

Limbwata zipo aisee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] muambie huyoooo.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Tupo wilaya moja ila tunaonana weekend tu kwa sababu ya majukumu ya kazi.

Leo wakati tunapiga story kaniuliza, Hivi unavyonipenda hivo na SIJAKUROGA siku NIKIKUROGA itakuwaje? Ukimya ulitawala sikujua nini nijibu, mpaka sasa najiuliza maswali yafuatayo:

1. Huyu kweli anaweza kuniroga?

2. Hili kabila la WANYATURU ni wachawi kiasi cha kumroga mtu kwa kumpa taarifa?

3. Nadate na mchawi?

4. Ataniroga kwa style gani? Nimpende sana mpaka niwe kama zombie?

Mpaka sasa anapiga simu namwambia nipo busy nitamtafuta but mpaka sasa nimevurugwa.

Sometime nakumbuka ushauri wa Mr.liverpool
Hajakosea Wanyaturu wako vizuri sana kwenye mila usichukulie poa jitafakari unampendea nini na una nini cha kuoffer kwake.
 
Hajakutana na mtaalamu huyo shostie wako, muambie aje kwangu mie, ntamtengeneza huyo Malaya wake, na hata amini,
Dunia hii shoga angu, uwanja wa fujo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Weeh mtoto weeh!!!!..…aibu naona Mimi Dada ako🤣🤦
 
Tupo wilaya moja ila tunaonana weekend tu kwa sababu ya majukumu ya kazi.

Leo wakati tunapiga story kaniuliza, Hivi unavyonipenda hivo na SIJAKUROGA siku NIKIKUROGA itakuwaje? Ukimya ulitawala sikujua nini nijibu, mpaka sasa najiuliza maswali yafuatayo:

1. Huyu kweli anaweza kuniroga?

2. Hili kabila la WANYATURU ni wachawi kiasi cha kumroga mtu kwa kumpa taarifa?

3. Nadate na mchawi?

4. Ataniroga kwa style gani? Nimpende sana mpaka niwe kama zombie?

Mpaka sasa anapiga simu namwambia nipo busy nitamtafuta but mpaka sasa nimevurugwa.

Sometime nakumbuka ushauri wa Mr.liverpool
Mshirikina huyo achana nae
 
Alikupigia Microphone testing One two...

Ni swala la muda tu.

tunasubiri ulete uzi,, hata kama ni baada ya miaka 10,, nawaombeni mnitag hio siku ikifika
 
Tupo wilaya moja ila tunaonana weekend tu kwa sababu ya majukumu ya kazi.

Leo wakati tunapiga story kaniuliza, Hivi unavyonipenda hivo na SIJAKUROGA siku NIKIKUROGA itakuwaje? Ukimya ulitawala sikujua nini nijibu, mpaka sasa najiuliza maswali yafuatayo:

1. Huyu kweli anaweza kuniroga?

2. Hili kabila la WANYATURU ni wachawi kiasi cha kumroga mtu kwa kumpa taarifa?

3. Nadate na mchawi?

4. Ataniroga kwa style gani? Nimpende sana mpaka niwe kama zombie?

Mpaka sasa anapiga simu namwambia nipo busy nitamtafuta but mpaka sasa nimevurugwa.

Sometime nakumbuka ushauri wa Mr.liverpool
Wanawake huulizwa maswali ya kijinga na mengine hayajibiki, hasa kama umeshamvua nguo au umekaribia kumvua nguo
 
Back
Top Bottom