Mpenzi wangu kaniuliza swali, nimeshindwa kumjibu

Mpenzi wangu kaniuliza swali, nimeshindwa kumjibu

Kwanini..? Wakati ulibaragazwa kwa kifupi ulitiwa ndani ya chupa lumbe ukawa zwazwa la.mtu hahahhaha
Tuyaache kula burudani nusu sekunde Kwanza..
 
Luka 6:45

Mtu mwema katika hazina njema ya moyo wake hutoa yaliyo mema, na mtu mwovu katika hazina mbovu ya moyo wake hutoa yaliyo maovu; kwa kuwa mtu, kinywa chake hunena yale yaujazayo moyo wake
AMINA
 
Sasa usiombe akajakukupa limbwata halafu akakuacha bado linafanya kazi!..

Mimi mpaka nilionaga nyotanyota..[emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]...! We jamaa muongo ahahahaaaa.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Eti zombie
 
Hiyo ilikuwa ni story tu,utani utani na wewe umezinguka. Utani huo kidogo umepagawa,je ukiingia kabisa huko kwenye ndoa,kuna masihara mengi huko,mengine ya ukweli si ndio utakuwa chizi kabisa kwa kifua hicho
 
Back
Top Bottom