Udochi
JF-Expert Member
- Jul 25, 2015
- 787
- 1,056
Cc.Tupo wilaya moja ila tunaonana weekend tu kwa sababu ya majukumu ya kazi.Leo wakati tunapiga story kaniuliza,Hivi unavyonipenda hivo na SIJAKUROGA siku NIKIKUROGA itakuwaje? Ukimya ulitawala sikujua nini nijibu,mpka sasa najiuliza maswali yafuatayo:
1.Huyu kweli anaweza kuniroga?
2.Hili kabila la WANYATUZU ni wachawi kiasi cha kumroga mtu kwa kumpa taarifa?
3.Nadate na mchawi?
4.Ataniroga kwa style gani?nimpende sana mpaka niwe kama zombie?
Mpka sasa anapiga simu namwambia nipo busy nitamtafuta but mpaka sasa nimevurugwa.
Sometime nakumbuka ushauri wa Mr.liverpool
Liverpool VPN