Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uchawi siku hizi hautegemei kabila wala familia. UCHAWI UNAUZWA wanaenda tu kwa waganga wa kienyejiTupo wilaya moja ila tunaonana weekend tu kwa sababu ya majukumu ya kazi.Leo wakati tunapiga story kaniuliza,Hivi unavyonipenda hivo na SIJAKUROGA siku NIKIKUROGA itakuwaje? Ukimya ulitawala sikujua nini nijibu,mpka sasa najiuliza maswali yafuatayo:
1.Huyu kweli anaweza kuniroga?
2.Hili kabila la WANYATUZU ni wachawi kiasi cha kumroga mtu kwa kumpa taarifa?
3.Nadate na mchawi?
4.Ataniroga kwa style gani?nimpende sana mpaka niwe kama zombie?
Mpka sasa anapiga simu namwambia nipo busy nitamtafuta but mpaka sasa nimevurugwa.
Sometime nakumbuka ushauri wa Mr.liverpool
We we ndiye yule ulitoa kisa?Sasa usiombe akajakukupa limbwata halafu akakuacha bado linafanya kazi!..
Mimi mpaka nilionaga nyotanyota..[emoji23]
Labda mwanao huyo kachanja au Mke wake anapewa dawa ambayo siyo sahihi au anapewa ambayo ni sahihi anakosea kutengeneza.Hakunaga hizo dawa usiogope. Kuna mwanangu mmoja ameoa ni malaya wa kufa mtu, mke wake anamuwekeaga dawa kwenye kila chakula, ila huwezi amini nje ana wanawake zaidi ya wanne na wengine nawafahamu tuko nao mtaa mmoja.
Nikimtaniaga namwambia mke wake ananiambia, sister potezea. Visichana vya chuo kibao na hawapagi hela nyingi anasemaga hazidi elfu 10. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usiogope hizo dawa hakuna kitu.
Tulia toyeye..😂Kilikukuta kitu,
Mengine tuyaache..😅K
Kumbe ulirogwa hahaa ilikuaje mzee wa Evelyn wa chumvi
Kipi tena..We we ndiye yule ulitoa kisa?
Kashorogwa na jini alilotupiwa linaitwa "LAZIMA UNIOE"
Mademu wa kibongo kuroga wanaume siku hizi imekuwa fashion.Tupo wilaya moja ila tunaonana weekend tu kwa sababu ya majukumu ya kazi.Leo wakati tunapiga story kaniuliza,Hivi unavyonipenda hivo na SIJAKUROGA siku NIKIKUROGA itakuwaje? Ukimya ulitawala sikujua nini nijibu,mpka sasa najiuliza maswali yafuatayo:
1.Huyu kweli anaweza kuniroga?
2.Hili kabila la WANYATUZU ni wachawi kiasi cha kumroga mtu kwa kumpa taarifa?
3.Nadate na mchawi?
4.Ataniroga kwa style gani?nimpende sana mpaka niwe kama zombie?
Mpka sasa anapiga simu namwambia nipo busy nitamtafuta but mpaka sasa nimevurugwa.
Sometime nakumbuka ushauri wa Mr.liverpool
SawaTulia toyeye..😂
Tupo wilaya moja ila tunaonana weekend tu kwa sababu ya majukumu ya kazi.Leo wakati tunapiga story kaniuliza,Hivi unavyonipenda hivo na SIJAKUROGA siku NIKIKUROGA itakuwaje? Ukimya ulitawala sikujua nini nijibu,mpka sasa najiuliza maswali yafuatayo:
1.Huyu kweli anaweza kuniroga?
2.Hili kabila la WANYATUZU ni wachawi kiasi cha kumroga mtu kwa kumpa taarifa?
3.Nadate na mchawi?
4.Ataniroga kwa style gani?nimpende sana mpaka niwe kama zombie?
Mpka sasa anapiga simu namwambia nipo busy nitamtafuta but mpaka sasa nimevurugwa.
Sometime nakumbuka ushauri wa Mr.liverpool
Luka 6:45
Mtu mwema katika hazina njema ya moyo wake hutoa yaliyo mema, na mtu mwovu katika hazina mbovu ya moyo wake hutoa yaliyo maovu; kwa kuwa mtu, kinywa chake hunena yale yaujazayo moyo wake
[emoji123][emoji123] good referenceLuka 6:45
Mtu mwema katika hazina njema ya moyo wake hutoa yaliyo mema, na mtu mwovu katika hazina mbovu ya moyo wake hutoa yaliyo maovu; kwa kuwa mtu, kinywa chake hunena yale yaujazayo moyo wake
Ni kujisahau[emoji38][emoji38]Mwanaume unaanzaje kupenda mpaka mwanamke anajua[emoji28][emoji28][emoji28].,