Mpenzi wangu kaolewa, nina kosa lolote hapa?

Smooth Criminal

JF-Expert Member
Joined
May 13, 2024
Posts
1,819
Reaction score
3,295
Nimekuja direct kwenu wana jf kuna story yangu nataka kushare nanyi, iko hivi;

Nilipokuwa chuo mwaka wa kwanza nilipata mpenzi tumwite (Grace) siyo jina halisi. Grace alikuwa mwaka wa pili, katika uhusiano wetu nikiwa mwaka wa pili, nikagundua kaanza mahusiano na mtu mwingine tumwite Juma.

Nilimuuliza Grace akasema ni rafiki yake tu, nikampigia Juma akamkataa kabisa kuwa hana uhusiano wowote na Grace. kwakuwa mimi siyo mtu wa kucomplicate mambo na huwa sipingi maamuzi ya mtu nikaliacha hivyohivyo.

baada ya grace kumaliza chuo, niliporudi mwaka wa tatu chuo, Juma akanipigia simu kuniuliza kama nina uhusiano na grace nikamjibu "why not?", kumbuka hapo grace yupo home. juma akanieleza kuwa grace tayar ni mke wake ameshamuoa na mahari ameshapeleka, so nikae mbali sana na grace. nilimjibu "sawa kila la kheri", hapo nilisahau kama aliyenipigia ni juma coz ni muda mrefu ulikuwa umepita nilishasahau hata namba yake.

baada ya kukata simu namba nikaikumbuka bhana😁, nikasema wait... huyu si juma? Nikajisemea kama kashamuoa siwezi badili chochote ila nikampigia tena simu nikamwambia, "wewe si juma nilikupigia kukuuliza uhusiano wako na grace ulikataa? Sasa nisikilize, kumwacha grace siwezi nampenda kuliko unavyodhani" niliongea hivyo kumkosesha jamaa utulivu tu ila sikuwa na mpango huo.

kweli bhana, juma akaanza kulia ananiomba niachane na grace. baadaye nilimpigia cm grace kumuuliza imekuwaje. akaniambia ni kweli kaolewa ila kalazimishwa na mama yake aliogopa kunambia maana angeniumiza, yeye mwenyewe haelewi kaolewa vipi. Sina mambo mengi naye nikamtakia kila la kheri, baada ya miezi kama miwili grace akaniomba turudiane anajuta kuolewa, ikiwezekana atoroke aje kwangu. nikamwambia kama unaachana na juma kisa sababu zako ni wewe ila isitokee hata siku moja mimi ndo niwe sababu ya kuachana kwenu, pili huko kutoroka utafute kwa kutorokea siyo kwangu.

Akaomba awe anakuja na kurudi nikamkubalia, akawa anatoka mkoani anakuja chuo anakaa siku mbili tatu then anageuza mpaka nilipomaliza chuo. Ni muda sasa tunaishi as if ni wapenzi ambao hajujaachana yaani nikimtaka anakuja nyumban anafanya shughuli zote atafua atapika na kila kitu then atarudi kwake ni mkoa mmoja ila wilaya tofauti. tuna bond ambayo ni vigumu kutengana mazima, nina mtu wangu anamjua pia. Sijawahi kuombwa hata mia, kwa sababu anabiashara yake aliifungua baada ya kumaliza chuo, na mtaji wake tulijibana boom nilimpa nusu, naye akatoa nusu. hatukukaa hostel tulipanga nje ya chuo, so hata vitu vingi nilivyo navyo tulinunua pamoja ukitoa kitanda na godoro ambavyo kuna asilimia ya fedha nilimrudishia ili ieleweke kuwa mmiliki ni mimi mwanaume, ila vitu vingine vya ndani tulikuwa tunatoa nusu nusu tunanunua, mfano, mapazia 50k mm natoa 25k na yy anatoa 25k tunanunua.

anyway, nimekuja kwenu wana MMU mnipe ushauri, kuna kosa lolote ninalolifanya? siibi coz she was my girlfriend jamaa ndiye aliingilia route yangu.

Anyway, nilitaka kusema ni story ya jamaa yangu nikakumbuka mtaniambia huyo jamaa yako ni wewe.. yeah ni mimi wakuu
 
mkuu hauna kosa lolote maana haujamfata jamaa kwenye imaya yake (hapa namaanisha haujaenda kumfata uyo manzi kwa jamaa, ila manzi anakuja kwako), pili uyo demu anaonekana hana time na jamaa tena, wewe tulia nae vizuri kabisa na ukimaliza chuo mnaweza kuamia mbali zaidi ili uendelee kuitafuna iyo nyuchi, kwenye upande wa kuoa unakatakiwa uangalia moyo wako unatakaje maana kuoa ni jambo zito kidogo kwa upande wa maoni yangu, yaaaani ulipo sema ulimuuliza uyo jamaa kama anatoka na demu wako afu akakataa afu anakuja tena kukuambia amemuoa uyo jamaa ni msenge sana, mwanangu uyo demu msugue sana.
 
Hapo wote wawili hamna fahamu, jiulize kama ni wewe umeoa mwanamke unaempenda halafu awe anatoka na mpenzi wake wa zamani kisiri siri, ukijuwa utajisikiaje, Mahusiano ni amani, ili amani iwepo ni lazima wanandoa wahesh imiane vinginevyo ni vurugu hizo. Hamna uhalali wowote katika hilo suala.
 
Nimekuja direct kwenu wana jf kuna story yangu nataka kushare nanyi, iko hivi;

Nilipokuwa chuo mwaka wa kwanza nilipata mpenzi tumwite (Grace) siyo jina halisi. Grace alikuwa mwaka wa pili, katika uhusiano wetu nikiwa mwaka wa pili, nikagundua kaanza mahusiano na mtu mwingine tumwite Juma.

Nilimuuliza Grace akasema ni rafiki yake tu, nikampigia Juma akamkataa kabisa kuwa hana uhusiano wowote na Grace. kwakuwa mimi siyo mtu wa kucomplicate mambo na huwa sipingi maamuzi ya mtu nikaliacha hivyohivyo.

baada ya grace kumaliza chuo, niliporudi mwaka wa tatu chuo, Juma akanipigia simu kuniuliza kama nina uhusiano na grace nikamjibu "why not?", kumbuka hapo grace yupo home. juma akanieleza kuwa grace tayar ni mke wake ameshamuoa na mahari ameshapeleka, so nikae mbali sana na grace. nilimjibu "sawa kila la kheri", hapo nilisahau kama aliyenipigia ni juma coz ni muda mrefu ulikuwa umepita nilishasahau hata namba yake.

baada ya kukata simu namba nikaikumbuka bhana😁, nikasema wait... huyu si juma? Nikajisemea kama kashamuoa siwezi badili chochote ila nikampigia tena simu nikamwambia, "wewe si juma nilikupigia kukuuliza uhusiano wako na grace ulikataa? Sasa nisikilize, kumwacha grace siwezi nampenda kuliko unavyodhani" niliongea hivyo kumkosesha jamaa utulivu tu ila sikuwa na mpango huo.

kweli bhana, juma akaanza kulia ananiomba niachane na grace. baadaye nilimpigia cm grace kumuuliza imekuwaje. akaniambia ni kweli kaolewa ila kalazimishwa na mama yake aliogopa kunambia maana angeniumiza, yeye mwenyewe haelewi kaolewa vipi. Sina mambo mengi naye nikamtakia kila la kheri, baada ya miezi kama miwili grace akaniomba turudiane anajuta kuolewa, ikiwezekana atoroke aje kwangu. nikamwambia kama unaachana na juma kisa sababu zako ni wewe ila isitokee hata siku moja mimi ndo niwe sababu ya kuachana kwenu, pili huko kutoroka utafute kwa kutorokea siyo kwangu.

Akaomba awe anakuja na kurudi nikamkubalia, akawa anatoka mkoani anakuja chuo anakaa siku mbili tatu then anageuza mpaka nilipomaliza chuo. Ni muda sasa tunaishi as if ni wapenzi ambao hajujaachana yaani nikimtaka anakuja nyumban anafanya shughuli zote atafua atapika na kila kitu then atarudi kwake ni mkoa mmoja ila wilaya tofauti. tuna bond ambayo ni vigumu kutengana mazima, nina mtu wangu anamjua pia. Sijawahi kuombwa hata mia, kwa sababu anabiashara yake aliifungua baada ya kumaliza chuo, na mtaji wake tulijibana boom nilimpa nusu, naye akatoa nusu. hatukukaa hostel tulipanga nje ya chuo, so hata vitu vingi nilivyo navyo tulinunua pamoja ukitoa kitanda na godoro ambavyo kuna asilimia ya fedha nilimrudishia ili ieleweke kuwa mmiliki ni mimi mwanaume, ila vitu vingine vya ndani tulikuwa tunatoa nusu nusu tunanunua, mfano, mapazia 50k mm natoa 25k na yy anatoa 25k tunanunua.

anyway, nimekuja kwenu wana MMU mnipe ushauri, kuna kosa lolote ninalolifanya? siibi coz she was my girlfriend jamaa ndiye aliingilia route yangu.

Anyway, nilitaka kusema ni story ya jamaa yangu nikakumbuka mtaniambia huyo jamaa yako ni wewe.. yeah ni mimi wakuu
Mwisho wa siku kuna atakayewatambulisha kwenye kituo cha kupewa ARV.
 
Kwa hiyo mmeolewa🤣🤣we ni kama bi mdogo, Sasa ili kuuwa so uwe ba mdogo, alafu mwenzako bi mkubwa ,yaani ba mkubwa!

Unapokuwa juu ya kifua Cha huyo demu ukicheza mayenu huku ukijua jamaa na yeye alikuwa anayazungusha last night unajisikiaje kama mwanaume🤔🤔🤔kwa kifupi una moyo wa pekee,
 
tatizo mimi huwa sina hizo overthinking, me naangaliaga upande wa moyo wangu tu, kujua mwingine naye anafanya nini siwezi
 
Akipata mimba anakuwa na kadi mbili za clinic, kwa vyovyote utaamini mtoto ni wako na yule mumewe atakuwa anajua ni wake akiii wanawake!
 
Back
Top Bottom