Smooth Criminal
JF-Expert Member
- May 13, 2024
- 1,819
- 3,295
- Thread starter
- #41
ndo kama hizi sasa 😁Unajua kazi za smooth criminal😀😀😀
ndo kama hizi sasa 😁Unajua kazi za smooth criminal😀😀😀
hilo hata mimi silitaki, ningetaka ningeshamwambia. wa kunizalia yupoMwambie akuzalie halafu urudi hapa utuambie kama limezekana
Basi mwache arudi kwa mumewe kumbe unaye wa kukuzaliahilo hata mimi silitaki, ningetaka ningeshamwambia. wa kunizalia yupo
wewe ukisema no reforms inatosha mkuu sisi wengine tupambane na mengine kama hayaNo reforms --- kwa mambo haya ccm tunao miaka mingi sana
Mkuu mambo ni mengi mapenzi ni mengi watu ni wengi..kula maisha moments ndio hizi sasa..ndo kama hizi sasa 😁
shida iko wapi hapo mkuuKuna watu mna moyo
unastahili kunywa hata bia yangu mkuuMkuu mambo ni mengi mapenzi ni mengi watu ni wengi..kula maisha moments ndio hizi sasa..
Saws mkuu-- lakini hapo juu umesemea umekuja kwetu wanajukwaawewe ukisema no reforms inatosha mkuu sisi wengine tupambane na mengine kama haya
asiporudi mwenyewe nani wq kumrudisha?Basi mwache arudi kwa mumewe kumbe unaye wa kukuzalia
nimesema wana jukwaa wa MMU siyo wa jukwaa la siasa kiongoziSaws mkuu-- lakini hapo juu umesemea umekuja kwetu wanajukwaa
Wanajukwaa wote ndo sisi mkuunimesema wana jukwaa wa MMU siyo wa jukwaa la siasa kiongozi
ewaa sasa kuna wajinga wananiambia madini kwenye shamba langu ni mali ya serikaliVuna mazao jamaa yangu jamaa alilima kwenye shamba lako
Wewe mchezeshee makende ukimaliza atarudi kwa mumeweasiporudi mwenyewe nani wq kumrudisha?
sasa ccm imeingiaje hukuWanajukwaa wote ndo sisi mkuu
hii ndo point sasa. notedWewe mchezeshee makende ukimaliza atarudi kwa mumewe
Hongera 😄😄tatizo mimi huwa sina hizo overthinking, me naangaliaga upande wa moyo wangu tu, kujua mwingine naye anafanya nini siwezi
labda nitafute hela na uchungu kwa pamoja, uchungu labda mumewe atakuwa naoTumia uchungu huo huo kutafuta hela, ili siku moja aje ajutie uamuzi wake.