ushauri siyo lazima uwe na shida tu, hata ukiwa sawa unaweza kuomba pia na ukajibiwa "uko sawa endelea"We huoni shida?ungetuomba ushauri?
hiyo ya kwanza nimeipokea na nnaahidi kuitendea kazi, hiyo ya pili nikuhakikishie haiwezi kutokea labda niwachanganyeushauri wangu, wewe kula sanaa kabla hujakulwa wewe
mkuu kama nikipata matatizo ni yamenifuata siyo nimeyatafuta, kosa langu lipi hapoUnatafuta matatizo
kwani magonjwa si yapo kwa hata wale tunaowaamini pia? ungeniambia nizingatie mpira ningekuelewaSasa mtu wa chuo unajibu hivi si hatari sana mkuu wangu..
sasa mimi nachapiwa au naichapaOooh Grace. Na utachapiwa mpaka uombe poo. Mwambie Grace azingatie matumizi ya kondomu kwenu wote mnaomla. Vinginevyo gridi ya taifa inawaita. Nyote ni wajinga!
View attachment 3428548
asante aiseePole mkuu
mkuu mbona unanipa madini sana? asante mkuu nitazingatia hiliChapa mali hiyo kabla wajanja hawaja ijanjarusha
Muonekano wa simu kwa mazingira ya nje, ndiyo yanayomshawishi mnunuzi kwa mara ya kwanza.samahani kwani uzuri tunaangalia nini mkuu
Ebu tuwekee picha ya huyo uliyenaye.taka taka hii ina uzuri gani ?
Naomba uwe na subira. Hakuna mwanamke hapo 🚮sasa mimi nachapiwa au naichapa
lakini kila mtu ana macho yake ya kuona huo uzuri wa nje ndo maana simu zote zinanunuliwaMuonekano wa simu kwa mazingira ya nje, ndiyo yanayomshawishi mnunuzi kwa mara ya kwanza.
nisubiri nini tena? aolewe mara mbili au, mimi sina cha kupoteza mpaka mda huuNaomba uwe na subira. Hakuna mwanamke hapo 🚮
Ebu tuwekee picha ya huyo uliyenaye.
Huyo sio wa ku download, nimeipata ChatGPT picha ya mpenzi wangu, then ili nisi mu expose nimeomba itoe copy ya wife. Hiyo ni pure copy and paste ya wifeEquation x njoo El-Sela ameenda kuku-dowloadia mpenzi wake
Hii mifupa unaipeleka Wapi?
ile mifangasi na harufu unaipeleka wapi.. hako hata chumvini nadhamu no smell wala nini napeleka bomba hadi mwisho.. sio ule mtaka mtakaHii mifupa unaipeleka Wapi?