Mpenzi wangu kaolewa, nina kosa lolote hapa?

Mpenzi wangu kaolewa, nina kosa lolote hapa?

Huyo sio wa ku download, nimeipata ChatGPT picha ya mpenzi wangu, then ili nisi mu expose nimeomba itoe copy ya wife. Hiyo ni pure copy and paste ya wife
Aya sema kwa sauti sasa
dss.jpg
 
Docta: ilikuaje hadi umeumia kiasi hiki?. Mgonjwa: ninachokumbuka niliuzwa unafanya nini na mke wangu?. Baada ya hapo nikahisi giza, fahamu zikapotea ndio nimejikuta niko hospital. MWISHO WA KUNUKUU.
 
Nimekuja direct kwenu wana jf kuna story yangu nataka kushare nanyi, iko hivi;

Nilipokuwa chuo mwaka wa kwanza nilipata mpenzi tumwite (Grace) siyo jina halisi. Grace alikuwa mwaka wa pili, katika uhusiano wetu nikiwa mwaka wa pili, nikagundua kaanza mahusiano na mtu mwingine tumwite Juma.

Nilimuuliza Grace akasema ni rafiki yake tu, nikampigia Juma akamkataa kabisa kuwa hana uhusiano wowote na Grace. kwakuwa mimi siyo mtu wa kucomplicate mambo na huwa sipingi maamuzi ya mtu nikaliacha hivyohivyo.

baada ya grace kumaliza chuo, niliporudi mwaka wa tatu chuo, Juma akanipigia simu kuniuliza kama nina uhusiano na grace nikamjibu "why not?", kumbuka hapo grace yupo home. juma akanieleza kuwa grace tayar ni mke wake ameshamuoa na mahari ameshapeleka, so nikae mbali sana na grace. nilimjibu "sawa kila la kheri", hapo nilisahau kama aliyenipigia ni juma coz ni muda mrefu ulikuwa umepita nilishasahau hata namba yake.

baada ya kukata simu namba nikaikumbuka bhana😁, nikasema wait... huyu si juma? Nikajisemea kama kashamuoa siwezi badili chochote ila nikampigia tena simu nikamwambia, "wewe si juma nilikupigia kukuuliza uhusiano wako na grace ulikataa? Sasa nisikilize, kumwacha grace siwezi nampenda kuliko unavyodhani" niliongea hivyo kumkosesha jamaa utulivu tu ila sikuwa na mpango huo.

kweli bhana, juma akaanza kulia ananiomba niachane na grace. baadaye nilimpigia cm grace kumuuliza imekuwaje. akaniambia ni kweli kaolewa ila kalazimishwa na mama yake aliogopa kunambia maana angeniumiza, yeye mwenyewe haelewi kaolewa vipi. Sina mambo mengi naye nikamtakia kila la kheri, baada ya miezi kama miwili grace akaniomba turudiane anajuta kuolewa, ikiwezekana atoroke aje kwangu. nikamwambia kama unaachana na juma kisa sababu zako ni wewe ila isitokee hata siku moja mimi ndo niwe sababu ya kuachana kwenu, pili huko kutoroka utafute kwa kutorokea siyo kwangu.

Akaomba awe anakuja na kurudi nikamkubalia, akawa anatoka mkoani anakuja chuo anakaa siku mbili tatu then anageuza mpaka nilipomaliza chuo. Ni muda sasa tunaishi as if ni wapenzi ambao hajujaachana yaani nikimtaka anakuja nyumban anafanya shughuli zote atafua atapika na kila kitu then atarudi kwake ni mkoa mmoja ila wilaya tofauti. tuna bond ambayo ni vigumu kutengana mazima, nina mtu wangu anamjua pia. Sijawahi kuombwa hata mia, kwa sababu anabiashara yake aliifungua baada ya kumaliza chuo, na mtaji wake tulijibana boom nilimpa nusu, naye akatoa nusu. hatukukaa hostel tulipanga nje ya chuo, so hata vitu vingi nilivyo navyo tulinunua pamoja ukitoa kitanda na godoro ambavyo kuna asilimia ya fedha nilimrudishia ili ieleweke kuwa mmiliki ni mimi mwanaume, ila vitu vingine vya ndani tulikuwa tunatoa nusu nusu tunanunua, mfano, mapazia 50k mm natoa 25k na yy anatoa 25k tunanunua.

anyway, nimekuja kwenu wana MMU mnipe ushauri, kuna kosa lolote ninalolifanya? siibi coz she was my girlfriend jamaa ndiye aliingilia route yangu.


Anyway, nilitaka kusema ni story ya jamaa yangu nikakumbuka mtaniambia huyo jamaa yako ni wewe.. yeah ni mimi wakuu
Andaaa vilainishi za mwizi ni 40 chezea kwenye 39 mkuu ukivuka huna linda 🤣🤣🤣
 
Docta: ilikuaje hadi umeumia kiasi hiki?. Mgonjwa: ninachokumbuka niliuzwa unafanya nini na mke wangu?. Baada ya hapo nikahisi giza, fahamu zikapotea ndio nimejikuta niko hospital. MWISHO WA KUNUKUU.
lakini huyu ni mke wetu kiongozi
 
Back
Top Bottom