Mpenzi wangu kaolewa, nina kosa lolote hapa?

Akipata mimba anakuwa na kadi mbili za clinic, kwa vyovyote utaamini mtoto ni wako na yule mumewe atakuwa anajua ni wake akiii wanawake!
tatizo tulikotoka ni mbali zaidi, suala la mtoto kwetu halipo
 
Ukishakuja kushtaki JF una kosa tuu!
 
Yaaani Mimi monetary nichukue namba ety we achana na manzi yangu!!

Huyo demu hamna mtu hapo ni safu za milima ya hi-malaya
sijawahi fanya hivyo pia, mademu ni wengi akiamua kuwa na mtu mwingine siwezi mwambia aachane na manzi yangu, ila kuuliza lazima niulize ni confirm kwa sauti yako unapomkubali au kumkana
 
Jipe moyo na we utapata umpendaye
 
saw mkuu, kwani wakati anamuoa hakujua kama mimi nampenda? kama alijua why mimi nijali hisia zake kama zangu alishindwa kuzijali? too bad alinikuta. pili hiyo kisirisiri iko wapi wakati toka mwanzo nilimwambia siwezi kuachana na g
 
mkuu wewe ndo umetoa ushauri kwa kuvaa viatu vyangu, kuhusu chuo nimemaliza now anakuja nyumbani
 
anyway, nimekuja kwenu wana MMU mnipe ushauri, kuna kosa lolote ninalolifanya? siibi coz she was my girlfriend jamaa ndiye aliingilia route yangu.
Grace kama alikupenda kweli asinge kubali kuolewa na Juma, inaonekana Juma ana maslahi fulani ambayo Grace ameyafata na wewe una maslahi flani anayapata.

Ni kosa kubwa sana kutembea na mke wa mtu tena mwanamke ambae alikuwa wako na kuondoka kwako na kwenda kuolewa na mwengine. Sio Mwanamke wa kumuamini kabisa
 
Tumia uchungu huo huo kutafuta hela, ili siku moja aje ajutie uamuzi wake.
 
Mwambie akuzalie halafu urudi hapa utuambie kama limezekana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…