Mpenzi wangu kaolewa, nina kosa lolote hapa?

Alipokuuliza una mahusiano na Grace kwanini ulijibu " why not?? Kwanini hukujibu "yes or no"???? Ndio ulivyofundishwa chuo kweli??
 
Mke wa mtu sumu Kuwa makini utauwawq au kurogwa achana naye
 
Lakini haiendani na context ya swali uliloulizwa.... jibu lilikuwa yes au no.
 
Ukiwa bado una power ya kumcontrol mpge mimba kabisa yaani fanya ummiliki hasa
 
Mapenzi yanauma mojawapo ya maumivu ni kusalitiwa wewe umeshasalitiwa enzi za uchumba chuo,
Maumivu mengine ni kunyang'anywa mchumba akqolewa na.mwingine wewe tayari umeahapitia hayo,
Maumivu huwa yanapoa. Juma ameoa Grace huyo ni mke wa mtu kuchukua mke wa mtu ni kosa, serikali inaping, mungu anapinga jamii inapinga, labda nikuulize hiyo ndoa ni ya dini gani? Angalau waislmu ni rahisi kupeana talaka,
Pia jiulize huyo dada akipata mimba itakuwa ya nani?
Kwakifupi huyo dada ni MUHUNI anawachanganya wote wawili, tangu enzi za chuo ungechinguza vizuri ungegundua kama anatoka na huyo jamaa, bado hujachelewa achana nae utapata mwanamke mwingine sio lazima upate kila unachokitaka kifupi UMECHELEWA, kisheria yule ni mke wa mtu mke wa mtu ni sumu, kwa mambo yq ujana na ujinga ilikuwa sawa kumhgombania huyo mwanamke lakino jamaa kashinda vita. Angalau wewe umesha toa hasira umetbea nae inatosha, amani ni kitu kizuri sana kuliko visasi, chuki na migogoro katika jamii jiondoe mapema hilo ni jini litawalostisha wote,
WEWE NI MPUMBAVU, JUMA NI MPUMBAVU, GRACE NI MSHENZI JAPO ANAJIONA MJANJA.
kuna umri mwanamke anajiona mjanja sana hajali ndoa wala nini zaidi ya ubinafsi wake na starehe zake, i
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…