SHEVCHENKO
JF-Expert Member
- Mar 9, 2019
- 331
- 453
Habari waungwana, poleni kwa mizunguuko ya hapa na pale.
Katika pita pita zangu kuna binti nimekutana nae kwenye mahusiano kiufupi nilitokea kumuelewa nikaanzisha nae mahusiano yapata miezi kadhaa.
Basi kutokana na kukutana nae mara kadhaa nikawa nimempa ujauzito ila kizaa zaa kimeanza alipoenda hospitali akapima vipimo vyote freshi sema upande wa kundi la damu kakutwa ni O negative sasa hapo ikabidi aulizwe kwamba mimi mwenye mimba ni group gani
Mimi nipo zangu mitikasi mara simu inaita naulizwa swali hapo mi ata sijui kundi langu ikabidi nirudi home niangalie makabrasha yangu nikakuta ni B+ nikampa majibu
Kufika jioni akanicheki sasa akaniambia damu haziendani daktari kasema inatakiwa sindano gani sijui na ghalama ni kama 200k hivi mara asipochoma mimba itaharibika na blah blah kibao
Mi nikamwambia powa usiwaze tutajua cha kufanya sasa hapa sielewi hii kitu ndo iko vipi wana zengo au ni namna tu anataka kunipiga au mimba inaweza kuwa sio yangu anataka kuniangushia jumba bovu nini maana hatuishi pamoja yupo kama kilometa 600 kutoka mkoa ninaoishi kwenda mkoa alipo
Naomba ufafanuzi kwenye hili mimba ina miezi 7 kwa sasa ni mimba yake yakwanza anadai hajawahi kutoa mimba wala mimba kuharibika japo sikumkuta bikira
Tupeane uzoefu labda kama kuna mlowahi kupitia changamoto kama hii
Nawasilisha🖐