Minja Ngalason
JF-Expert Member
- Jan 8, 2017
- 1,505
- 2,192
Mkuu kama kweli unampenda na kumhitaji huyo mtoto choma hyo sindano maana la sihivyo inaweza kuleta kilio kwenu baadae
Asante mkuu nilikuwa sijui kama kuna mambo kama hayo ilo la kwanza ndio maana ilikuwa inanipa ukakasi ila nimepata kuelewa sasa kwa namna alivyonielekeza yeye ilikuwa ngumu kumuelewa nilidhani ni janja janja labda ila baada ya wanazengo mbali mbali kunielewesha nimeelewa sasa.Nilichogundua ni kwamba ulikuwa unataka kujua kuhusu hiyo laki mbili kama ina ukweli wowote na ukaanbiwa ukweli ila bado roho inakuuma kutoa hiyo laki mbili.
Mkuu mimi ni o+ wife ni 0- ujauzito wake wa kwanza nilimchoma sindano moja ya ANT-D lakini baada ya hapo n sindano mbili kwa kila ujauzito mzee hvyo jua kabisa mkeo akinasa mimba bajet itembee kuanzia laki 5 hadi milion kama hauna bima
Mfano tu sindano mbili n laki nne, kununua vifaa vya kujifungulia laki plus na tahadhari siku hizi kisu nje nje andaa lak mbil
Sikutishi ila ndio hali halisi
Asante, wengine wanasema sindano mbili wengine moja naomba kuuliza je tunaweza kuchoma moja baada ya kujifungua ukilinganisha na hali ya kiuchumi ilivyo kwa sasa au ni lazima achome mbili maana hali ni ngumu mkuu
Anachokwambia ni kweli ana hitaji kuchomwa Ant D injection kwa usalama wa mtoto na mama. Vinginenevyo ni tatizo . Mama anaweza kutozaa tena au ndo kama alivyo kwambia mwenzio laki 2 si kitu kwa usalama wa mtoto na mama yakeAhaa asante nimekuelewa sana mkuu ngoja kesho nimwambie j3 aende kituo kingine na mimi nikacheki halafu tuone itakuwaje.
Sema yule mtalam anasema alimuuliza kama hajawahi kutoa mimba au mimba kuharibika alimjibu ndiyo, kwenye hili hata mimi nalikubali kwa asilimia fulani kwasabu mileage ni bado kabisa huyu binti na dizaini ya wife material ndio maana nikaona nianzishe nae tu familia
Akasema pia hiyo sindano inabidi ipatikane achome akijifungua la sivyo mtoto hatoboi sasa hapo ndo nikaanza kuona mauzauza.
Naomba kuuliza mkuu hapo juu umesema mtoto wa pili kuendelea ndo inakuwa issue sasa je mbona yeye ananitishia tena
Huchezei unaokoa mama na ntoto aiseeMi hela za kuchezea sina
Jamaa hana nia ya kulea iyo mimba fwatilia vzr maswali yake na jinsi alivyo jibiwaNilichogundua ni kwamba ulikuwa unataka kujua kuhusu hiyo laki mbili kama ina ukweli wowote na ukaanbiwa ukweli ila bado roho inakuuma kutoa hiyo laki mbili.
Mkuu mimi ni o+ wife ni 0- ujauzito wake wa kwanza nilimchoma sindano moja ya ANT-D lakini baada ya hapo n sindano mbili kwa kila ujauzito mzee hvyo jua kabisa mkeo akinasa mimba bajet itembee kuanzia laki 5 hadi milion kama hauna bima
Mfano tu sindano mbili n laki nne, kununua vifaa vya kujifungulia laki plus na tahadhari siku hizi kisu nje nje andaa lak mbil
Sikutishi ila ndio hali halisi
Jamaa anataka kukimbia kaona pesa nyingiYaani laki 2 imekufanya uwaze mimba sio yako
Poleni sana
Sasa kama ni hivyo tafuta mshkaji mwenye 0 negative ndio universal donor kama mimi akusaidie
Sasa kama anaona laki 2 nyingi huyu atalea mtoto kweliJamaa anataka kukimbia kaona pesa nyingi
Anatafuta sababuJamaa anataka kukimbia kaona pesa nyingi
Wasiwasi wako tu mkuuAnatafuta sababu
Umasikini ni Laana
Ingekuwa kukimbia ningekacha tu kimya kimya mkuu ila hadi nimekuja kupata ABCs humu ujue uwezo ninao, nia ninayo na hata sababu ya kuhudumia ipoSasa kama anaona laki 2 nyingi huyu atalea mtoto kweli
Ondoa shaka mkuu ilikuwa ni utani. Wala hakuna mzaha kwenye hili kila kitu kitakuwa powaHuchezei unaokoa mama na ntoto aisee
Hawezi kakaSasa kama anaona laki 2 nyingi huyu atalea mtoto kweli
Sure broAnatafuta sababu
Umasikini ni Laana
Kichwa chako kigumu Mkuu una majibu yako kichwani na watu hawakupi inabidi u-forceUmeongea kitalam sana japo sijaelewa ila naomba kuuliza sasa hii ni mimba ya kwanza sio ya pili inakuwaje anilazimishe nitume hela au inakuwaje hapo, kwa ulivyochambua hilo jambo umesema mtoto wa pili ndo shida