SHEVCHENKO
JF-Expert Member
- Mar 9, 2019
- 331
- 453
- Thread starter
- #41
Mimi nipo mkoani yeye yupo darJaman mama kijacho anaenda clinic mwnyw ndo nn si wote mnapata ushauri au
Mimi nipo mkoani yeye yupo darJaman mama kijacho anaenda clinic mwnyw ndo nn si wote mnapata ushauri au
Wacha ubishi wewe andazi toa hiyo hela mama akachome sindano. Mimba itaharibika hiyo! Na kama haitaharibika basi atakuwa siyo mtoto wako huyo!Habari waungwana, poleni kwa mizunguuko ya hapa na pale.
Katika pita pita zangu kuna binti nimekutana nae kwenye mahusiano kiufupi nilitokea kumuelewa nikaanzisha nae mahusiano yapata miezi kadhaa.
Basi kutokana na kukutana nae mara kadhaa nikawa nimempa ujauzito ila kizaa zaa kimeanza alipoenda hospitali akapima vipimo vyote freshi sema upande wa kundi la damu kakutwa ni O negative sasa hapo ikabidi aulizwe kwamba mimi mwenye mimba ni group gani
Mimi nipo zangu mitikasi mara simu inaita naulizwa swali hapo mi ata sijui kundi langu ikabidi nirudi home niangalie makabrasha yangu nikakuta ni B+ nikampa majibu
Kufika jioni akanicheki sasa akaniambia damu haziendani daktari kasema inatakiwa sindano gani sijui na ghalama ni kama 200k hivi mara asipochoma mimba itaharibika na blah blah kibao
Mi nikamwambia powa usiwaze tutajua cha kufanya sasa hapa sielewi hii kitu ndo iko vipi wana zengo au ni namna tu anataka kunipiga au mimba inaweza kuwa sio yangu anataka kuniangushia jumba bovu nini maana hatuishi pamoja yupo kama kilometa 600 kutoka mkoa ninaoishi kwenda mkoa alipo
Naomba ufafanuzi kwenye hili mimba ina miezi 7 kwa sasa ni mimba yake yakwanza anadai hajawahi kutoa mimba wala mimba kuharibika japo sikumkuta bikira
Tupeane uzoefu labda kama kuna mlowahi kupitia changamoto kama hii
Nawasilisha🖐
Lakini pia, kwa upande wa mhudumu wa afya ni ngumu sana kuamini kwamba ni ujauzito wa kwanza, sababu bado kuna uwezekano kwamba huenda aliwahi kushika na asijue na ikaharibika kabla ya mwenyewe kujua. Na mengine ni maswala ya uaminifu zaidi ambayo mwenza hataki mwenzake ajue. Sasa hawezi kurisk hii mtoto afie tumboni ilihali kuna yanayoweza kufanyika. Mwisho wa siku pesa ni karatasi tu, cha muhimu uhai.Asante nashukuru. Naomba kuuliza kwa kujifunza japo sio kwa umuhim
Je mwanamke akiwa bikira anajijua kabisa hajawahi kushiriki michezo yoyote hatarishi akikutana na issue kama hii inakuwaje, tunafuata utaratibu huo huo au
Asante Mungu akubariki yani unajibu vizuri bila hasira mkuu japo maswali yangu kidogo yanakwaza ila unanivumilia wewe ni mtu na nusu.Kama ni hivyo, haina haja. Ni kusubiri ajifungue kwanza. Wanavyosema, kwa ujauzito wa kwanza anachoma masaa 72 baada ya kujifungua, na hapo ni endapo tu kama mtoto atakuwa na blood group ya baba. Kama ana kundi la damu la mama ambalo halina ile Rh, hamna haja ya kuchoma
Lakini kwa ujauzito wa pili na kuendelea kama mtoto wa kwanza alikuwa na kundi la damu la baba, basi ni muhimu akachoma kabla ujauzito kukuwa.
Atakuwa wa nani sasa mbona mnanichanganyaWacha ubishi wewe andazi toa hiyo hela mama akachome sindano. Mimba itaharibika hiyo! Na kama haitaharibika basi atakuwa siyo mtoto wako huyo!
Kúanzia mimba ya pili + zitakua mimba zinatoka chini ya miezi mitatu,Hapa sasa nimeelewa vizuri sana asante ubarikiwe. Kwahyo kuna uwezekano kama hiyo dawa asipopata kwenye huu ujauzito wa kwanza inaweza kupelekea askari wakawa wengi kiasi kwamba mimba za pili na kuendelea askari wakaua wavamizi wote hata kabla hawajafika popote??
Samahani wew ni kabila gani?Asante Mungu akubariki yani unajibu vizuri bila hasira mkuu japo maswali yangu kidogo yanakwaza ila unanivumilia wewe ni mtu na nusu.
Sasa hapo hapo nina swali la nyongeza, je mtoto wa kwanza akifuata group la mama kuna uwezekano watoto wote wanaofuata wakafuata Rh ya mama au itakuwa tunaendelea kupima kwa kila atakapojifungua mtoto kuona ana chaji ya aina gani ili endapo kama huyo aliefuatia amechukua + basi ile process sasa ifanyike
Ni kweli upo sahihi kabisa. Nimeshaelewa nitafanya taratibu zote kuona itakuwaje kwasabu bado tupo kwenye muda sahihi maana tumeambiwa kati ya week 28-30 na sasa ni week ya 28 na siku 4Lakini pia, kwa upande wa mhudumu wa afya ni ngumu sana kuamini kwamba ni ujauzito wa kwanza, sababu bado kuna uwezekano kwamba huenda aliwahi kushika na asijue na ikaharibika kabla ya mwenyewe kujua. Na mengine ni maswala ya uaminifu zaidi ambayo mwenza hataki mwenzake ajue. Sasa hawezi kurisk hii mtoto afie tumboni ilihali kuna yanayoweza kufanyika. Mwisho wa siku pesa ni karatasi tu, cha muhimu uhai.
Nawaza tu na makande yangu tumboni niliyoshiba usiku
Mtoto anaweza kuchukua kundi la damu la aidha mama, au baba. Wa kwanza anaweza kuwa na la mama, wa pili la baba, wa tatu la baba, wa nne la mama nk. Kwa maana hiyo kila akijifungua, ni lazima mtoto apime kundi la damu ili wajue wanamsaidia vipi mama, na pia watoto watakaofuataAsante Mungu akubariki yani unajibu vizuri bila hasira mkuu japo maswali yangu kidogo yanakwaza ila unanivumilia wewe ni mtu na nusu.
Sasa hapo hapo nina swali la nyongeza, je mtoto wa kwanza akifuata group la mama kuna uwezekano watoto wote wanaofuata wakafuata Rh ya mama au itakuwa tunaendelea kupima kwa kila atakapojifungua mtoto kuona ana chaji ya aina gani ili endapo kama huyo aliefuatia amechukua + basi ile process sasa ifanyike
Asante mkuu barikiwa sanaKúanzia mimba ya pili + zitakua mimba zinatoka chini ya miezi mitatu,
na kuhusu dawa atachomwa Kila abebapo Mimba zake zote .
Mkuu sikudai kwakweli ✊Mtoto anaweza kuchukua kundi la damu la aidha mama, au baba. Wa kwanza anaweza kuwa na la mama, wa pili la baba, wa tatu la baba, wa nne la mama nk. Kwa maana hiyo kila akijifungua, ni lazima mtoto apime kundi la damu ili wajue wanamsaidia vipi mama, na pia watoto watakaofuata
Muonee huruma kijana wa watu, angalau anaonesha nia ya kuhudumia na kulea. Wengine wanakula kona wakipata habari hiziSamahani wew ni kabila gani?
Habari waungwana, poleni kwa mizunguuko ya hapa na pale.
Katika pita pita zangu kuna binti nimekutana nae kwenye mahusiano kiufupi nilitokea kumuelewa nikaanzisha nae mahusiano yapata miezi kadhaa.
Basi kutokana na kukutana nae mara kadhaa nikawa nimempa ujauzito ila kizaa zaa kimeanza alipoenda hospitali akapima vipimo vyote freshi sema upande wa kundi la damu kakutwa ni O negative sasa hapo ikabidi aulizwe kwamba mimi mwenye mimba ni group gani
Mimi nipo zangu mitikasi mara simu inaita naulizwa swali hapo mi ata sijui kundi langu ikabidi nirudi home niangalie makabrasha yangu nikakuta ni B+ nikampa majibu
Kufika jioni akanicheki sasa akaniambia damu haziendani daktari kasema inatakiwa sindano gani sijui na ghalama ni kama 200k hivi mara asipochoma mimba itaharibika na blah blah kibao
Mi nikamwambia powa usiwaze tutajua cha kufanya sasa hapa sielewi hii kitu ndo iko vipi wana zengo au ni namna tu anataka kunipiga au mimba inaweza kuwa sio yangu anataka kuniangushia jumba bovu nini maana hatuishi pamoja yupo kama kilometa 600 kutoka mkoa ninaoishi kwenda mkoa alipo
Naomba ufafanuzi kwenye hili mimba ina miezi 7 kwa sasa ni mimba yake yakwanza anadai hajawahi kutoa mimba wala mimba kuharibika japo sikumkuta bikira
Tupeane uzoefu labda kama kuna mlowahi kupitia changamoto kama hii
Nawasilisha🖐
Ila huyu sasa nikioa nikiweka ndani kizazi chetu si kitakuwa cha sindano maisha yote hivi watoto watakuwa na akili kweli sio kwa ubaya ila najaribu kuwaza ni kama watakuwa watoto wa kutengeneza hiviMuonee huruma kijana wa watu, angalau anaonesha nia ya kuhudumia na kulea. Wengine wanakula kona wakipata habari hizi
Asante, wengine wanasema sindano mbili wengine moja naomba kuuliza je tunaweza kuchoma moja baada ya kujifungua ukilinganisha na hali ya kiuchumi ilivyo kwa sasa au ni lazima achome mbili maana hali ni ngumu mkuuKama yeye kapimwa na kundi lake la damu ni O negative, cha kufanya ni kuhakikisha kwamba nawe unapimwa ili kujua kundi lako la damu ni lipi. (Negative au positive?)
Kama kundi lako ni negative basi itakuwa sawa, lakini kama utapimwa na kundi lako likawa Positive kuna sindano hiyo ambayo mkeo itabidi achomwe.
Hiyo sindano ni muhimu kwa sababu mwili wa mkeo huchukulia kundi la damu yako kama kigeni kwake hivyo hutengeneza kinga dhidi yake. Ili kuzuia hilo lisitokee mama huchomwa sindano.
Kama hatachomwa hiyo sindano baada ya kujifungua mtoto wake wa kwanza salama basi kuna hatari ya kupoteza (kuharibika) mimba zitakazofuata.
Kwa hiyo hakikisha mnapimwa makundi yenu ya damu na mwenzako achomwe hiyo sindano kwa utaratibu mtakaopewa hospitalini kama makundi yenu ni tofauti (negative kwa positive) ili muweze kuendelea kujenga familia yenu na watoto wenu wawe salama.
Kila la kheri.
Huu sio ugonjwa, sio vizuri kuwaza hivi. Ni kama maumbile tu au rangi ya ngozi, wengine weusi, wengine maji ya kunde. Mimba hazitabiriki, na hazifanani. Wengine hawana issue hizi za kundi la damu lakini wanayopitia, hili lako ni jepesi sanaIla huyu sasa nikioa nikiweka ndani kizazi chetu si kitakuwa cha sindano maisha yote hivi watoto watakuwa na akili kweli sio kwa ubaya ila najaribu kuwaza ni kama watakuwa watoto wa kutengeneza hivi
Asante nimekuelewa sana. Nashukuru kwa muda wakoHuu sio ugonjwa, sio vizuri kuwaza hivi. Ni kama maumbile tu au rangi ya ngozi, wengine weusi, wengine maji ya kunde. Mimba hazitabiriki, na hazifanani. Wengine hawana issue hizi za kundi la damu lakini wanayopitia, hili lako ni jepesi sana
Hhhahahahahaha hapo mchawi uwepo wako kuhakikisha kweli hiyo pesa inalipwa. Japo mi binafsi naona kuna code furani hujaweka wazi. Inaelekea haaminiki tuMkuu hilo limeisha wacha tu nitoe sadaka akiwa wangu powa asipokuwa wangu powa kikubwa nitahakikisha ni kweli hiyo pesa inatumika kwa kazi hiyo na si vinginevyoo maana naweza kutuma pesa ikalipia vikoba wakati kuna maandalizi ya kujifungua n.k
Watu wanamuelekezea vzr san il bado haelewi anaonyesha wazi kabisa mbeleni atakimbia majukumu nipo hapa huyo sio mleaji mimbaMuonee huruma kijana wa watu, angalau anaonesha nia ya kuhudumia na kulea. Wengine wanakula kona wakipata habari hizi