SHEVCHENKO
JF-Expert Member
- Mar 9, 2019
- 331
- 453
Dah sasa yeye ndo yupo dar mbona nazidi kutetemekaKitandan hakizai harumu mkuu,hata kama mimba sio yako lakini nawewe umo..
Tulishasema kwenye kikao ukiwa upo kwenye mahusiano ya mbali hakikisha wewe ndio unaishi dar es salaam😂.
Hapo kwenye group la damu ngoja wajuzi waje
Asante, huwa inatokeaga wanakoseaga au inakuwajeNyote wawili rudieni kupima makundi yenu ya Damu Vituo tofauti tofauti vitatu.
Kisha Rudi ushauriwe .
Yeah Wako Sawa Anatakiwa Apatiwe Sindano Ya Anti-D na Hiyo ndo bei zake..
Ndio ,hiyo Huwa inategemea Mtaalam .Asante, huwa inatokeaga wanakoseaga au inakuwaje
Ahaa asante nimekuelewa sana mkuu ngoja kesho nimwambie j3 aende kituo kingine na mimi nikacheki halafu tuone itakuwaje.Ndio ,hiyo Huwa inategemea Mtaalam .
Akiwa unga ,majibu yanakua unga.
Hata hivo, Mama mwenye O Neg, akakukatana na Mwanaume Rh Post, mimba ya kwanza huzaa vizuri, ila mimba ya pili na kuendelea Huwa zinatoka ,pona yake ni kuchoma sindano za Anti-D.
Asante ni shida gani mkuu labda unsweza kunifafanuliaDaktar upo sawa kijana lipia dose iyo alafu usichelew maan mtoto anaweza pata shida msumbuke kulipia ela nyingi za matibabu🙌🏾
Dah alivyonipigia simu kunieleza akaniuliza group langu akasema chaji haziendani sasa hizo chaji mi ndo sijaelewaHiyo mimba yake anaifanya kua mtaji wa kukupinga pesa,
Sijui yeye Group O+ Wewe B+ ndio inamzuia nini yeye au kuna madhara gani anayapata yeye fafanua vzr(au ndio inasababisha kuwepo long distance relatioship yenu?)
Muulize hiyo sindano ni yakubadili Blood group au anajitia utahira asio zaliwa wao
Ayo mambo ni ya kawaida kijana nenda hospital kama unataka ufafanuzi ila mlipie dose ya mtoto mapemaAsante ni shida gani mkuu labda unsweza kunifafanulia
Umeongea kitalam sana japo sijaelewa ila naomba kuuliza sasa hii ni mimba ya kwanza sio ya pili inakuwaje anilazimishe nitume hela au inakuwaje hapo, kwa ulivyochambua hilo jambo umesema mtoto wa pili ndo shidaNi kweli kama mama ni group negative na male ni group positive, kuna uwezekano mtoto akawa group positive, ambapo immune system ya mama itasense kama kitu cha tofauti au hatarishi and should be eliminated. Hilo litapelekea mtoto kufia tumboni mara nyingi immune reaction ya mama hua kwa mimba ya pili. Iyo sindano hua ni kwaajili ya kisupress immune reaction ya mama isimuue mtoto tumbon. Kuhusu gharama yupo sahihi hajadanganya. Kumbuka immune system cells za mama hupita kene umbrical cord pamoja na nutrients na waste from and to mother and foetus
Mi hela za kuchezea sinaAyo mambo ni ya kawaida kijana nenda hospital kama unataka ufafanuzi ila mlipie dose ya mtoto mapema
Ulitumwa umuweke mimba mnataka watoto kutunza anhaa dadek mwanaume wa ivi nisipate akii 💔Mi hela za kuchezea sina
Utamfanyaje sasa na kashakuwekaUlitumwa umuweke mimba mnataka watoto kutunza anhaa dadek mwanaume wa ivi nisipate akii 💔