Wagumu Tunadumu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2022
- 7,591
- 23,296
Leo umechelewa sana
Kasema mtoto wa pili ndo mwili wa mama unaweza zoea hali ya kuwa na mtoto mwenye kundi la damu positive na hautadhuru mimbaUmeongea kitalam sana japo sijaelewa ila naomba kuuliza sasa hii ni mimba ya kwanza sio ya pili inakuwaje anilazimishe nitume hela au inakuwaje hapo, kwa ulivyochambua hilo jambo umesema mtoto wa pili ndo shida
Kama amemchoka atuachie sisi. Ila na mtoto asije kumdai. Rigale , ebu ni DM number ya shemeji nimsikilize basi ntakwambia kama mieushoWatu wanamuelekezea vzr san il bado haelewi anaonyesha wazi kabisa mbeleni atakimbia majukumu nipo hapa huyo sio mleaji mimba
Dah alivyonipigia simu kunieleza akaniuliza group langu akasema chaji haziendani sasa hizo chaji mi ndo sijaelewa
..Magroup tofauti ya damu.yanafanya mimba itoke ??...ndio nalisikia Leo. mimi na mama Desi TU magoup tofauti ya damu, lakini tuna Watoto watano, firstborn akiwa na Miaka 34, na sijawahi kusikia kitu kama hicho !...Waulize Vizuri uhakikishe kuwa Sio dili !!!...Habari waungwana, poleni kwa mizunguuko ya hapa na pale.
Katika pita pita zangu kuna binti nimekutana nae kwenye mahusiano kiufupi nilitokea kumuelewa nikaanzisha nae mahusiano yapata miezi kadhaa.
Basi kutokana na kukutana nae mara kadhaa nikawa nimempa ujauzito ila kizaa zaa kimeanza alipoenda hospitali akapima vipimo vyote freshi sema upande wa kundi la damu kakutwa ni O negative sasa hapo ikabidi aulizwe kwamba mimi mwenye mimba ni group gani
Mimi nipo zangu mitikasi mara simu inaita naulizwa swali hapo mi ata sijui kundi langu ikabidi nirudi home niangalie makabrasha yangu nikakuta ni B+ nikampa majibu
Kufika jioni akanicheki sasa akaniambia damu haziendani daktari kasema inatakiwa sindano gani sijui na ghalama ni kama 200k hivi mara asipochoma mimba itaharibika na blah blah kibao
Mi nikamwambia powa usiwaze tutajua cha kufanya sasa hapa sielewi hii kitu ndo iko vipi wana zengo au ni namna tu anataka kunipiga au mimba inaweza kuwa sio yangu anataka kuniangushia jumba bovu nini maana hatuishi pamoja yupo kama kilometa 600 kutoka mkoa ninaoishi kwenda mkoa alipo
Naomba ufafanuzi kwenye hili mimba ina miezi 7 kwa sasa ni mimba yake yakwanza anadai hajawahi kutoa mimba wala mimba kuharibika japo sikumkuta bikira
Tupeane uzoefu labda kama kuna mlowahi kupitia changamoto kama hii
Nawasilisha[emoji870]
😂😂Kama amemchoka atuachie sisi. Ila na mtoto asije kumdai. Rigale , ebu ni DM number ya shemeji nimsikilize basi ntakwambia kama mieusho
Wanawake wabaya sana mkuu we acha tu..Magroup tofauti ya damu.yanafanya mimba itoke ??...ndio nalisikia Leo. mimi na mama Desi TU magoup tofauti ya damu, lakini tuna Watoto watano, firstborn akiwa na Miaka 34, na sijawahi kusikia kitu kama hicho !...Waulize Vizuri uhakikishe kuwa Sio dili !!!...
Kwakweli ukitazama kwa macho ya nyama unaona kabisa kuna ukakasiNina watoto watatu sijawah ulizwa kundi la damu
Kuwa makini unataka kupigwa
Ingawaje hilo tatizo nalijua lipo,ila huku afrika mpaka tupate matatizo ndo linafatiliwa
Si uende hospital kea maelezp zaidi..Hadi napata hasira kama vile Mimi ndio mwenye mimba Yako..pesa hutaki kutoa! Kuelewa ni mgumu! Nrnda hospital wewe na mywako ili mpate elimi vizuriKulipia sio issue ila lazima nipate uhakika sio kupigwa kizembe kama mimba sio yangu jee??
Ila hebu nikuulize nimejaribu kuangalia huko akili bandia inasema sindano ziwe mbili moja week ya 28 -30 ingine masaa 72 hadi siku 28 baada ya kujifungua sasa hapo inakuwaje mfano je akichoma moja tu inakuwaje??
Asahiv nipo serious sasa tuache utani
..Magroup tofauti ya damu.yanafanya mimba itoke ??...ndio nalisikia Leo. mimi na mama Desi TU magoup tofauti ya damu, lakini tuna Watoto watano, firstborn akiwa na Miaka 34, na sijawahi kusikia kitu kama hicho !...Waulize Vizuri uhakikishe kuwa Sio dili !!!...
Kwakweli ukitazama kwa macho ya nyama unaona kabisa kuna ukakasi
Anataka kukimbia anatafuta justificationWewe naona ni kama unachora watu tu hapa, ushaelezwa kwa undani lakino bado unakuwa mbishi kama Muha wa Kibondo...