Mpenzi wangu na tatizo la uume kulala mapema na kutosimamisha kabisa, nini tatizo?

Mpenzi wangu na tatizo la uume kulala mapema na kutosimamisha kabisa, nini tatizo?

Mwambie ajiunge na JF ..alafu anifate PM ...nitamsaidia ... Nmeshasaidia wengi humu .na wananipa majibu mazuri.

Ukishindwa ,,kasome Uzi Wangu niliuandikaga ..

*FANYA UUME WAKO UWE NA NGUVU NAHAMU YA KURUDIA RUDIA TENDO*.
angekuwemo humu ningempa na tips baadhi zakukufanyia nakufanya mwenyewe ,,mpaka ungejihisi dunian upo mwenyewe !!!.

Asante
mpe link afungue asome
 
Angekuwa na Busara asingeandika ujinga wake hapa uanjani. Pia mimi ni me why aseme me ndiye mapungifu wakati dalili zote zinaonyesha yy ndiye mwene tatizo?
Kuna watu mnastahili viboko tu hakuna namna..
 
Dah hilo ttz lipo na watu wengi sana ila mazoezi ndio suluhisho la ttz hilo na mpangilio mzur wa lishe bora ila kwa ttz hilo ipo Dawa ya miti unachemsha na misumari 2 ya nchi 4 hata km alikuwa hasimami atasimama tu tena kwa morali na ttz linaondoka kbsaa kwa maelezo zaid nifate PM
 
Akenda hospital bwatampima watagundua ni kweli ana ttz na watampa Dawa ila ajue Dawa za hospital hazijengi zinabomoa kbsaa
 
Mwambie ajiunge na JF ..alafu anifate PM ...nitamsaidia ... Nmeshasaidia wengi humu .na wananipa majibu mazuri.

Ukishindwa ,,kasome Uzi Wangu niliuandikaga ..

*FANYA UUME WAKO UWE NA NGUVU NAHAMU YA KURUDIA RUDIA TENDO*.
angekuwemo humu ningempa na tips baadhi zakukufanyia nakufanya mwenyewe ,,mpaka ungejihisi dunian upo mwenyewe !!!.

Asante
Kumbe mkuu kwenye mambo haya upo vizuri eeeh
 
Itakua kapenda pesa za jamaa huyu, bcoz kama kumkuna hamkuni, au jamaa handsome
 
Huyo alikuwa mpiga punyeto namba wan, cha msingi kama ulivyoshauriwa mtafutie dawa za asili sio mavidonge, pia aanze kupenda mazoezi hasa ya kukimbia na asubuhi akiamka tu akiwa anapata asali kijiko2 na kitungu saumu moja safi sana
 
Nitafute kwa mafuta ya kupakaa kwenye uume ndani ya wiki tu misuli inaimarika kama mwanzo
 
Back
Top Bottom