Itakua hauko sex hivyo humvutii kuendelea kusex na ww .bila shaka huyo hana tatizo lolote ...tatizo lipo kwako manjumat huna... DUSHE iki lala jaribu kuinyonya uone kama ijasimama fasta.. Ongeza utundu wanaume tumetofautiana...
Aaaah wapi, Mtu ambaye hana tatizo kitendo cha kuona pichu tu haijalishi uko sexy or vipi kitu lazima kiende mnara. Usimfariji mwenzio kwa kitu kisicho cha ukweli.
Dada'ngu
mtotomtamuu , jamaa yako ana matatizo, hebu muanzishie juice ya maziwa na tende mixer na uwatu, ale ndizi, pia kama anaweza mnunulie majani ya mlonge awe anachanganya kwenye uji au juice kijiko cha chai asubuhi na jioni. Pia atumie garlic mara kwa mara ikiwezekana twice a day pia. Wakati huo huo kila anapoenda chooni kukojoa mwambie awe anafanya zoezi la kegel (Anabana na kuachia mkojo repeatedly) naamini itamsaidia sana.
N.B: Wakati akiendelea na zoezi hili mwambie apumzike kula vyakula vyenye mafuta mengi, nyama nyekundu, chipsi, mayai yasiyokuwa na baba na soda soda pamoja na bia.
Ale sana organic food, hasa vile vyenye fibers, matunda, kama pombe apige atleast hizi ambazo ni asili ya spirit, konyagi etc.
Afu na wewe usipende kukaa uchi au kuvaa matenge tenge ukiwa na mwenzio, hebu pendelea kuvaa kanga nyepesii ndani hata kukiwa kuna kakufuli ambako katakuwa kanaonekana hapo lazima network ya jamaa ipande hadi 4G.
N.B2: Afanye mazoezi na aache punyeto Kama anapiga lakini (1ingawa inaonesha huenda ndio tatizo, ongea naye.)
Ikishindikana hapo amuone mzee Mzizimkavu.