Mpenzi wangu na tatizo la uume kulala mapema na kutosimamisha kabisa, nini tatizo?

Tatizo dogo sana. Ni mishipa ya damu huenda imeziba au alikuwa na Tabia ya kujichua. Aende kwa wataalamu wa Urology wamsaidie
 
Hapo kweny mafuta ya alizet nakataa..... Hebu tupe proof.... Coz mm nachojua mafuta ya alizet ndo mafuta ambayo atleat hayapo saturated kama kina korie na jamii yake..
 
Anatumia kondom, kama ni bila kondom afu perfomance mbaya hivyo achana nayee
 
Itakua hauko sex hivyo humvutii kuendelea kusex na ww .bila shaka huyo hana tatizo lolote ...tatizo lipo kwako manjumat huna... DUSHE iki lala jaribu kuinyonya uone kama ijasimama fasta.. Ongeza utundu wanaume tumetofautiana...
Mkuu, msipende ku encourage sana watu kunyonyana mboo/****. It's not healthy, sema tu watu huwa hatuelewi!
 
Afanye mazoezi, anywe maji mengi sana, ale matunda mchanganyiko, apunguze vyakula vya carbohydrates, ale protein zaidi. Muulize kama anapata shida wakati wa kukojoa mkojo. Mkojo unatoka kwa shida au kuna maumivu, kama tatizo hilo lipo muone daktari.
 
Mpeleke hospital checking fertility profile ni muhimu doctors support ndio solution nzuri
Hii ni ED au Erectile Dysfunction and it has nothing to do with Abnormal Fertility Profile ya mtu, mostly chanzo kinakuwa psychological zaidi(uoga wa magonjwa, kutojiamini au kutoridhishwa na mwenza nk) ingawa uchovu, umri, ulevi wa kupindukia na magonjwa km kisukari (DM )zinaweza pia kuwa chanzo .
 
Kwanini mnafanya ngono kabla ya ndoa ivi nyie kizazi cha nyoka mna matatizo gani afu unakuja kutangaza bila tone ya aibu
 
Kwahiyo tuseme mmeshazini kabla hamjaoana [emoji19] [emoji19] .?
 
Pole sana, Afanye yafuatayo:-
1. ajiondoe usajili wa chaputa.
2. Anywe maji mengi kwa siku kuanzia 1.5 litres na kuendelea.
3. Afanye mazoezi ya viungo kila siku.
4. Abadilishe chakula, ale mlo kamili ugali wa dona, mtama, ulezi, dagaa, samaki na mboga za majani,
5. Afanye "kegel exercise".
6. A- "boost self esteem" na kujiamini
Aafanye hivyo kisha ulete mrejesho!
 
Mwaka 2017?? Hebu njoo utupe mrejesho mmefikia wapi au ulimove on kwa dushe lingine
 
Reactions: aye
aende handeni akanunue mkuyati
 
Acha kuwa mkali na kuwa mkosoaji wakati wa tendo. Usionyeshe kutoridhika au nyodo za waziwazi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…