Mpenzi wangu ni mfupi, naona aibu kumtambulisha, nifanyaje?

Mpenzi wangu ni mfupi, naona aibu kumtambulisha, nifanyaje?

Money penny apo umegonga kwenyew kabisa kuna haha yakuwapa elimu wanawake kwa wanaume kuhusu mahusiano zaidi maana Dunia ya Leo ipo kasi zaidi ya tulivyo wanadam imetutawala akili kwa kiwango cha juu[emoji1787]
Tvtgcgggxolk.k.k.k.l.k.ll.l.ll.kl.lklkllkk.kklkkxxz
 
Binti: money penny, Mimi nimepata bwana, nimekuwa nae kwenye mahusiano Kwa muda WA MIEZI 3 sasa kwa Siri

Kwa maana, sijawahi kumtambulisha Kwa ndugu, jamaa hata Marafiki zangu naona aibu sababu ni mfupi

Money penny: kwahiyo unasemaje?

Binti: Naogopa kuchekwa na watu, maana ni mfupi Yuko usawa wa kiunoni, ila ananipenda sana na naona kama anataka ndoa, nifanyaje?

Haya nyie warefu mshaurini mwenzenu afanyaje
Dah hiyo ni series ya game of thrones sasa.
 
Back
Top Bottom