Mpenzi wangu ni mfupi, naona aibu kumtambulisha, nifanyaje?

Binti: money penny, Mimi nimepata bwana, nimekuwa nae kwenye mahusiano Kwa muda WA MIEZI 3 sasa kwa Siri

Kwa maana, sijawahi kumtambulisha Kwa ndugu, jamaa hata Marafiki zangu naona aibu sababu ni mfupi

Money penny: kwahiyo unasemaje?

Binti: Naogopa kuchekwa na watu, maana ni mfupi Yuko usawa wa kiunoni, ila ananipenda sana na naona kama anataka ndoa, nifanyaje?

Haya nyie warefu mshaurini mwenzenu afanyaje
Mvumiliane mbona wewe huna akili na mvuto na bado anakutambulisha hivyo hivyo?
 
Binti: money penny, Mimi nimepata bwana, nimekuwa nae kwenye mahusiano Kwa muda WA MIEZI 3 sasa kwa Siri

Kwa maana, sijawahi kumtambulisha Kwa ndugu, jamaa hata Marafiki zangu naona aibu sababu ni mfupi

Money penny: kwahiyo unasemaje?

Binti: Naogopa kuchekwa na watu, maana ni mfupi Yuko usawa wa kiunoni, ila ananipenda sana na naona kama anataka ndoa, nifanyaje?

Haya nyie warefu mshaurini mwenzenu afanyaje
Mfupi wa kawida ila show si anakumwaga maji mixer ute kwa nini usimtambulishe kabinti acha uwoga
 
Back
Top Bottom