Mpenzi wangu ni mfupi, naona aibu kumtambulisha, nifanyaje?

Binti: money penny, Mimi nimepata bwana, nimekuwa nae kwenye mahusiano Kwa muda WA MIEZI 3 sasa kwa Siri

Kwa maana, sijawahi kumtambulisha Kwa ndugu, jamaa hata Marafiki zangu naona aibu sababu ni mfupi

Money penny: kwahiyo unasemaje?

Binti: Naogopa kuchekwa na watu, maana ni mfupi Yuko usawa wa kiunoni, ila ananipenda sana na naona kama anataka ndoa, nifanyaje?

Haya nyie warefu mshaurini mwenzenu afanyaje
Daaaa watu wafupi tunateseka
 
Sema umekuwa naye katika uzinzi, acheni kuficha uzinzi kwa kutumia neno mahusiano.
 
Back
Top Bottom