Mpenzi wangu ni mfupi, naona aibu kumtambulisha, nifanyaje?

Mpenzi wangu ni mfupi, naona aibu kumtambulisha, nifanyaje?

Huyo ni Malaya kama wengine tu,kama hampendi Hadi kufikia kiwango Cha kuona aibu Sasa wa kazi gani si aachane nae? Usikute Mr mfupi ana Hela Kwa hiyo hako kabinti kanashindwa kuchomoka
Kutokupenda sio umalaya NI uamuzi
You have the worst poor mindset ever
 
Weka picha ya raizon tuone
rai1.jpg
rai2.jpg
rai1.jpg
rai2.jpg
 
Binti: money penny, Mimi nimepata bwana, nimekuwa nae kwenye mahusiano Kwa muda WA MIEZI 3 sasa kwa Siri

Kwa maana, sijawahi kumtambulisha Kwa ndugu, jamaa hata Marafiki zangu naona aibu sababu ni mfupi

Money penny: kwahiyo unasemaje?

Binti: Naogopa kuchekwa na watu, maana ni mfupi Yuko usawa wa kiunoni,u ila ananipenda sana na naona kama anataka ndoa, nifanyaje?

Haya nyie warefu mshaurini mwenzenu afanyaje
Wewe ulipenda nini kwake,ufupi,pesa au tunda kimasihara😂😂😂.tupe majibu ilituweze kukushauri 🤔ipasavyo🏃🏃🏃
 
Back
Top Bottom