Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
- Thread starter
- #81
Kumbe mnajijua wanaume warefu hamnaga 100Dah!! sema sisi wanaume warefu tuko smart sana kwenye kila kitu.... lakini tunatofautiana kwenye fedha tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe mnajijua wanaume warefu hamnaga 100Dah!! sema sisi wanaume warefu tuko smart sana kwenye kila kitu.... lakini tunatofautiana kwenye fedha tu.
Hii imeishaTuma pica tuons
Naskia warefu hamna helaMwambie aje warefu tupo
✍️
Weka picha ya raizon tuoneMnunulie raizon ngazi tano avae
Size zenye height 5'6 nao ni warefu ama wafupi😆Naskia warefu hamna hela
Huyo unafichwaga ndani ya surualiHebu muulize kama mkuyenge nayo ni fupi? Kama mku ni ndefu, basi haina shida
Bro mbona umenuna au nawe mfupi??Wanawake wengine mna mambo ya hovyo sana, wakati unamkubalia ulikuwa unamuona ngongoti au?
Angekuwa anatafuta kuolewa na babake mzazi sishani kama huu Uzi ingekuwa unamhusu shemelaBabaako mzazi ni mrefu au mfupi.Tuanzie hapo.
Hakuna sehemu amesema amependa helaSi umezipenda hela zake. Ukilipenda boga penda na ua lake
Angetaka kumuacha asiongeomva ushauriMuache
Hana🏃🏃🏃🏃Ana hela?
WastanSize zenye height 5'6 nao ni warefu ama wafupi😆
Huku kuna wanaume au waume??Achana nae, njoo utafute mume JF.
Humu kila mwanaume ni mrefu halafu mweusi tii, na kila mwanaume humu JF akiwa anakula mzigo anapiga sho kali na mwanamke anarusha maji! Karibu sana.
Kwani kama wewe NI zee, si upite, waache wenye UMRI Sawa wandike na kusoma na Ku commentUnaandika kama wote humu tuna umri sawa na wako pmbav
Ivi kama mwanaume anaekusumbua yeye kuwa anaekupenda afanyejeAlimpendea nn hapo kabla
Huu NI Uzi WA kimo sio mkunyengeKwani ni mfupi hadi mkuyenge? Shauri yake anaringa sahivi ipo siku atatamani anayepumua tu na anaweza asipate, fainali uzeeni😀
KabisaKuna watu wamefunga ndoa kwa kuonana mara moja na baada ya mwezi ndoa
Leo mwaka wa 40 hilo nalo vipi
Usikariri maisha kila mmoja na bahati yake
Wapo waliojuana miaka 10 baadae wakaoana na miaka 2 baadae wakaachana
Maisha sio ya kupanga yanakuja yenyewe
Kama ako na pesa mtambulishe tu.Binti: money penny, Mimi nimepata bwana, nimekuwa nae kwenye mahusiano Kwa muda WA MIEZI 3 sasa kwa Siri
Kwa maana, sijawahi kumtambulisha Kwa ndugu, jamaa hata Marafiki zangu naona aibu sababu ni mfupi
Money penny: kwahiyo unasemaje?
Binti: Naogopa kuchekwa na watu, maana ni mfupi Yuko usawa wa kiunoni, ila ananipenda sana na naona kama anataka ndoa, nifanyaje?
Haya nyie warefu mshaurini mwenzenu afanyaje
Poa boss naona kumejaa pupils huku sio kama zamani tenaNipo best,mambo