Mpenzi wangu ni mfupi, naona aibu kumtambulisha, nifanyaje?

Binti: money penny, Mimi nimepata bwana, nimekuwa nae kwenye mahusiano Kwa muda WA MIEZI 3 sasa Kwa Siri

Kwa maana, sijawahi kumtambulisha Kwa ndugu, jamaa hata Marafiki zangu naona aibu
Sababu NI mfupi

Money penny: kwahiyo unasemaje??

Binti: naogopa kuchekwa na watu, maana NI mfupi Yuko usawa wa kiunoni, ila ananipenda sana na naona kama anataka ndoa, nifanyaje??

Haya nyie warefu mshaurini mwenzenu afanyaje
Babaako mzazi ni mrefu au mfupi.Tuanzie hapo.
 
Binti: money penny, Mimi nimepata bwana, nimekuwa nae kwenye mahusiano Kwa muda WA MIEZI 3 sasa Kwa Siri

Kwa maana, sijawahi kumtambulisha Kwa ndugu, jamaa hata Marafiki zangu naona aibu
Sababu NI mfupi

Money penny: kwahiyo unasemaje??

Binti: naogopa kuchekwa na watu, maana NI mfupi Yuko usawa wa kiunoni, ila ananipenda sana na naona kama anataka ndoa, nifanyaje??

Haya nyie warefu mshaurini mwenzenu afanyaje

Amnunulie buti za jeshi apande juu kidogo hahaha
 
Kwa hio asubirie kidogo at least miezi 6 anaweza akarefuka ?
[emoji3578]

Nimechekaa [emoji1787][emoji1787]

Yaani mimi nimecomment tu mtu una miezi nae 3 tu unataka umtambulishee sidhani kama ni nzuri labda kama umezoea kutambulishAtambulisha watu kwenu

Wa kutambulishwa ni mume mtarajiwa tu tena siku atakayokuja toa mahari ndio anatambulishwa

Kuhusu ufupi ni kwamba harefukii tena yeye anaona aibu kwa kuwa hampendi aache kumtambulisha mpk atakapojiridhisha mwenyewe
 
Binti: money penny, Mimi nimepata bwana, nimekuwa nae kwenye mahusiano Kwa muda WA MIEZI 3 sasa Kwa Siri

Kwa maana, sijawahi kumtambulisha Kwa ndugu, jamaa hata Marafiki zangu naona aibu
Sababu NI mfupi

Money penny: kwahiyo unasemaje??

Binti: naogopa kuchekwa na watu, maana NI mfupi Yuko usawa wa kiunoni, ila ananipenda sana na naona kama anataka ndoa, nifanyaje??

Haya nyie warefu mshaurini mwenzenu afanyaje
Ana hela?
 
Back
Top Bottom