Mpenzi wangu ni mfupi, naona aibu kumtambulisha, nifanyaje?

Ni dhahiri kabisa haumpendi huyo jamaa.na wewe mwanaume Mola akuepushe na kikombe hiki usije muoa huyu binti,aibu anayokuonea leo ndio itakuw hiyo hiyo katika kufanya shughul zenu za kiuchumi mkiwa kwenye ndoa maana maeneo mengi atakukana kwa kuwa unamtia aibu. Quit fast bro hamna kitu hapo
 
Binti: money penny, Mimi nimepata bwana, nimekuwa nae kwenye mahusiano Kwa muda WA MIEZI 3 sasa kwa Siri

Kwa maana, sijawahi kumtambulisha Kwa ndugu, jamaa hata Marafiki zangu naona aibu sababu ni mfupi

Money penny: kwahiyo unasemaje?

Binti: Naogopa kuchekwa na watu, maana ni mfupi Yuko usawa wa kiunoni, ila ananipenda sana na naona kama anataka ndoa, nifanyaje?

Haya nyie warefu mshaurini mwenzenu afanyaje
Unaandika kama wote humu tuna umri sawa na wako pmbav
 
Binti: money penny, Mimi nimepata bwana, nimekuwa nae kwenye mahusiano Kwa muda WA MIEZI 3 sasa kwa Siri

Kwa maana, sijawahi kumtambulisha Kwa ndugu, jamaa hata Marafiki zangu naona aibu sababu ni mfupi

Money penny: kwahiyo unasemaje?

Binti: Naogopa kuchekwa na watu, maana ni mfupi Yuko usawa wa kiunoni, ila ananipenda sana na naona kama anataka ndoa, nifanyaje?

Haya nyie warefu mshaurini mwenzenu afanyaje
huyo bado ujampenda wewe!mtu uliyempenda kutoka motoni huwez kuona aibu upendo unaficha aibu!!
 
Wanaposema mapenzi n upofu. Kupenda n upofu unaelewa maana yake?
Au ukipenda chongo utaita kengeza. Unaelewa maana yake?
 
Miezi mitatu anataka akamtambulishe ili iwe nini

Atulie angalau mwaka asijitie nuksi unamtambulisha mtu anakuacha miezi 3 mapema kutambulishana au ana hakika watavuka mwaka[emoji1787]
Kuna watu wamefunga ndoa kwa kuonana mara moja na baada ya mwezi ndoa
Leo mwaka wa 40 hilo nalo vipi

Usikariri maisha kila mmoja na bahati yake
Wapo waliojuana miaka 10 baadae wakaoana na miaka 2 baadae wakaachana
Maisha sio ya kupanga yanakuja yenyewe
 
Binti: money penny, Mimi nimepata bwana, nimekuwa nae kwenye mahusiano Kwa muda WA MIEZI 3 sasa kwa Siri

Kwa maana, sijawahi kumtambulisha Kwa ndugu, jamaa hata Marafiki zangu naona aibu sababu ni mfupi

Money penny: kwahiyo unasemaje?

Binti: Naogopa kuchekwa na watu, maana ni mfupi Yuko usawa wa kiunoni, ila ananipenda sana na naona kama anataka ndoa, nifanyaje?

Haya nyie warefu mshaurini mwenzenu afanyaje
Wewe uko na urefu kimo gani nae urefu wake kwa makisio nikama kimo gani maana asiwe katoka Kongo
 
Back
Top Bottom